Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hivi Watanzania wanajua implication ya Abusive Language mitandaoni?Kwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia wa Mauritania amefunguka kwamba
asilaumiwe kwa lolote lile kwenye sakata la goli la Aziz ki kukataliwa bali lawama zote ziwaendee waliokuwa wana-control Video Assistant Referee (VAR)
Mwamuzi huyo ameeleza hayo wakati aki-chat Instagram na Aliyekuwa Msemaji wa Yanga Haji Sunday Manara...
Mwamuzi Beida Pahane ameweka wazi kuwa wakati wa faulo ya lomalisat wanao-control VAR walishindwa kutoa maamuzi hivyo walihitaji msaada wake ndio
maana aienda kuwasaidia lakini Kwenye Goli la aziz.ki hakwenda kuthibitisha kwenye VAR kwa sababu haikuwa kazi ngumu kwa wanao-control VAR kutoa maamuzi,
walimueleza mapema kuwa sio goli, hivyo kama kuna makosa yoyote walaumiwe wao.
Mwamuzi Beida Dahane amefunguka kuwa hawezi kuomba msamaha kwa Watanzania kwani hakuhusika katīka maamuzi, kama kuna kosa lolote amefanya basi
ataomba msamaha kwa Mungu..
Mwamuzi Beida Dahane amesisitiza kwamba yeye ndiyo anatakiwa kuombwa msamaha maana anashambuliwa sana kutokana na sakata hili, wakati wanaotakiwa
kushambuliwa ni watu wa VAR...
View attachment 2956306
CHAT ZA DM KATI YA HAJI NA MWAMUZI..
View attachment 2956309
View attachment 2956310
View attachment 2956311
View attachment 2956312View attachment 2956313
Au wanaropoka tu.
Inaweza ku Backfire kwa Yanga mi nawashtua tu.