Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

Ukitaka kujenga urafiki na nyani we mrushie ndizi
 
Una uhakika gani kuwa walimdanganya?kwanini unaamini walimdanganya na hakukuwa na goal line technology?
Walimdanganya na kusisitiza asisogee kwenye video make angewaumbua kama alivyowaumbua kwenye inshu ya lomalisa
 
Var pia inatoa utata kuhusu hilo goli na ilikuwepo
Hapana hapana.VAR kazi yake sio kuamua goli au sio goli.yale ni marudio tu.yanayoonesha tukio.kuhusu uamuzi anatoa refa na var room.ila goal line technology. Inaamua yenyewe. Kwa kukuonesha mpira ulipo.sasa sisi tuna gombana nini ikiwa hatuna uhakika wa hilo goli?
 
Kwa nini kama halikuwa goli? Mbona basi akuamulu mpira upigwe kona wakati aliyeutoa nje kwa kichwa ni beki wa Mamelod?
Badala yake akawapa faida mamelod kuanza mpira.
Kuna maswali ya kujiuliza hapa.
Yaani alivurunda vibaya utadhani refa wa chandimu,maana akiulizwa haya maamuzi ya kuwapa freekick badala ya Kona atajibu nini
 
Hapana hapana.VAR kazi yake sio kuamua goli au sio goli.yale ni marudio tu.yanayoonesha tukio.kuhusu uamuzi anatoa refa na var room.ila goal line technology. Inaamua yenyewe. Kwa kukuonesha mpira ulipo.sasa sisi tuna gombana nini ikiwa hatuna uhakika wa hilo goli?
Kwa hiyo Kwa vile Africa hatujaanza kutumia line technology so uhakika wa goli ni mpaka nyavu zitikisike si ndio maana yako kaka?
 
Sema watu weusi tumezubaa
Mwaka 2019 Wydad waligoma kuendelea na mechi ,tena fainali baada ya kufunga goli halafu refa akaleta ushubwada, wakakaza kabisa mpaka rais wa caf akaingia uwanjani kuwaomba waendelee na mechi ila wakamuambia kacheze wewe na hao mnaowabeba ila sisi hatuendelei madam mmekataa goli letu halali
Mechi ikaishia hapo hapo ,ES tunis wakapewa ushindi ila Wydad hawakufanywa chochote dhidi ya vikao vya mchongo
 
Kwa hiyo Kwa vile Africa hatujaanza kutumia line technology so uhakika wa goli ni mpaka nyavu zitikisike si ndio maana yako kaka?
Ewaaaaaaa!hapo hapo.tusilaumu refa wala var room.bali tuilaumu technology yenu DUNI.landa vinginevyo kuwe na uthibitisho kuwa mamelodi walihusika katika kulikataa hilo goli.vinginevyo tutaonekana waswahili. Maana ni jambo la kawaida kwenye mpira haya mambo . kwanini goli la utopolo ndo lilalamikiwe sana?
 
Hizi nguvu wabongo wangeelekeza sehemu sahihi nchi ingekua mbali,,,,,,pumbafu bora wametolewa wote mwakarobo na mwakarobo jr
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Yanga wangeelekeza Nguvu kubwa kufundisha wachezaji wao kupiga penati.

Unapaki basi wakati hujui kupiga penati?
Ndio maana kipaumbele chao haikuwa penati bali kumaliza mchezo ndani ya dakika 90 na walilifanikiwa hilo. Laiti kama waamuzi wangekuwa fair kusingekuwa na mikwaju ya penati na Mamelodi wangeaga mashindano.
 
Najaribu kuwaza hivi offside nayo na refa Huwa anaenda kuangalia au maamuzi yakoshatolewa kwenye chumba Cha VAR? Coz mara nyingi refa Huwa anapewa nafasi kama za faulo zilizoleta penalty nk.
 
Ameshasema Mpira makosa Hutokea Msameheni Bure bhna nyinyi wenyewe Mmekosa Penalty
Kwenye kukosa penati kulisababishwa na huyo huyo refa, yaani Aziz ki kweli akose penati?

Huyp refa alituharibia kisaikolojia wachezaji wetu wakapoteza penati 3 muhimu 😂😂
 
Back
Top Bottom