mchawi wa kusini
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 830
- 898
Unampenda weweKumbe ana page kabisa? Ngoja baadae na mimi nikamalize hasira zangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unampenda weweKumbe ana page kabisa? Ngoja baadae na mimi nikamalize hasira zangu.
Walimdanganya na kusisitiza asisogee kwenye video make angewaumbua kama alivyowaumbua kwenye inshu ya lomalisaUna uhakika gani kuwa walimdanganya?kwanini unaamini walimdanganya na hakukuwa na goal line technology?
Kwa faida ya nani wafanye yote hayo?Walimdanganya na kusisitiza asisogee kwenye video make angewaumbua kama alivyowaumbua kwenye inshu ya lomalisa
Kwa faida ya Mamelodi na ndomana walitamani lomalisa apigwe umeme!!Kwa faida ya nani wafanye yote hayo?
Hivi sisi tuosema sio goli na nyie mnaosema ni goli akina nani wako sahihi?na kwa kigezo kipi.ikiwa caf hawana goal line technology?Kwa faida ya Mamelodi na ndomana walitamani lomalisa apigwe umeme!!
Var pia inatoa utata kuhusu hilo goli na ilikuwepoHivi sisi tuosema sio goli na nyie mnaosema ni goli akina nani wako sahihi?na kwa kigezo kipi.ikiwa caf hawana goal line technology?
Hapana hapana.VAR kazi yake sio kuamua goli au sio goli.yale ni marudio tu.yanayoonesha tukio.kuhusu uamuzi anatoa refa na var room.ila goal line technology. Inaamua yenyewe. Kwa kukuonesha mpira ulipo.sasa sisi tuna gombana nini ikiwa hatuna uhakika wa hilo goli?Var pia inatoa utata kuhusu hilo goli na ilikuwepo
Mpira wa miguu sio Mambo ya kijinga.Mahera alidhulumu uchaguzi mkawa kimya mambo ya kijinga mnaenda kutukana
Yaani alivurunda vibaya utadhani refa wa chandimu,maana akiulizwa haya maamuzi ya kuwapa freekick badala ya Kona atajibu niniKwa nini kama halikuwa goli? Mbona basi akuamulu mpira upigwe kona wakati aliyeutoa nje kwa kichwa ni beki wa Mamelod?
Badala yake akawapa faida mamelod kuanza mpira.
Kuna maswali ya kujiuliza hapa.
Kwa hiyo Kwa vile Africa hatujaanza kutumia line technology so uhakika wa goli ni mpaka nyavu zitikisike si ndio maana yako kaka?Hapana hapana.VAR kazi yake sio kuamua goli au sio goli.yale ni marudio tu.yanayoonesha tukio.kuhusu uamuzi anatoa refa na var room.ila goal line technology. Inaamua yenyewe. Kwa kukuonesha mpira ulipo.sasa sisi tuna gombana nini ikiwa hatuna uhakika wa hilo goli?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe ana page kabisa? Ngoja baadae na mimi nikamalize hasira zangu.
Ewaaaaaaa!hapo hapo.tusilaumu refa wala var room.bali tuilaumu technology yenu DUNI.landa vinginevyo kuwe na uthibitisho kuwa mamelodi walihusika katika kulikataa hilo goli.vinginevyo tutaonekana waswahili. Maana ni jambo la kawaida kwenye mpira haya mambo . kwanini goli la utopolo ndo lilalamikiwe sana?Kwa hiyo Kwa vile Africa hatujaanza kutumia line technology so uhakika wa goli ni mpaka nyavu zitikisike si ndio maana yako kaka?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hizi nguvu wabongo wangeelekeza sehemu sahihi nchi ingekua mbali,,,,,,pumbafu bora wametolewa wote mwakarobo na mwakarobo jr
Ndio maana kipaumbele chao haikuwa penati bali kumaliza mchezo ndani ya dakika 90 na walilifanikiwa hilo. Laiti kama waamuzi wangekuwa fair kusingekuwa na mikwaju ya penati na Mamelodi wangeaga mashindano.Yanga wangeelekeza Nguvu kubwa kufundisha wachezaji wao kupiga penati.
Unapaki basi wakati hujui kupiga penati?
Zipo nyingi tu instagram, nimejaribu ku search nimeziona na zote watu wanatukana. Nyingine post zote ni za leo tuManara Huwa Sio mzima Kumbe ni Fake Account?
Kwenye kukosa penati kulisababishwa na huyo huyo refa, yaani Aziz ki kweli akose penati?Ameshasema Mpira makosa Hutokea Msameheni Bure bhna nyinyi wenyewe Mmekosa Penalty