Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

🤣🤣🤣aibu naona mimi.mkiambiwa pale utopoloni wenye akili wawili tu muwe mnaelewa.
Naona ninyi mna akili ndio maana press conference yenu mnajadili mambo ya Yanga.

Swali
Kama ni offside kwanini refa alijadili uhalali wa goli na VAR!?
 
😁😁😁.tatizo lenu mwaka robo JR mna mdomo sana.haya hayajatokea kwa bahati mbaya.yametokea ili yawafundishe kuwa USIMTUKANE MAMBA WAKATI HAUJAVUKA MTO.bora simba yeye kafungwa zake katulia. Ila nyie mmefungwa na goli limekataliwa TENA GOLI LA USHINDI🤣🤣🤣🤣mtateseka sana
Utulie wapi wewe kujificha kwenye matokeo ya Yanga ndio kunakufanya kikosi chako kuwa bora? Nimeshiriki confederation mwaka jana nimeishia fainali na mwaka huu Championship nimeishia robo sababu ya mistake ya refa ningekuwa nipo nusu.

Sasa wewe Championship unaishia robo, confederation mpaka mpaka mkaota moto na kuchoma nyasi katikati ya uwanja, mbele ya kamera Africa nzima inawaona na faini mkapigwa na CAF na bado mkaishia robo. Hatufanani kabisa ndio maana wewe kwako robo ushindi.
 
Kwa mara ya kwanza Mwamuzi wa kati aliyechezesha mechi ya juzi kati ya Mamelodi Sundowns na Yanga Beida Dahane raia wa Mauritania amefunguka kwamba
asilaumiwe kwa lolote lile kwenye sakata la goli la Aziz ki kukataliwa bali lawama zote ziwaendee waliokuwa wana-control Video Assistant Referee (VAR)

Mwamuzi huyo ameeleza hayo wakati aki-chat Instagram na Aliyekuwa Msemaji wa Yanga Haji Sunday Manara...

Mwamuzi Beida Pahane ameweka wazi kuwa wakati wa faulo ya lomalisat wanao-control VAR walishindwa kutoa maamuzi hivyo walihitaji msaada wake ndio
maana aienda kuwasaidia lakini Kwenye Goli la aziz.ki hakwenda kuthibitisha kwenye VAR kwa sababu haikuwa kazi ngumu kwa wanao-control VAR kutoa maamuzi,
walimueleza mapema kuwa sio goli, hivyo kama kuna makosa yoyote walaumiwe wao.

Mwamuzi Beida Dahane amefunguka kuwa hawezi kuomba msamaha kwa Watanzania kwani hakuhusika katīka maamuzi, kama kuna kosa lolote amefanya basi
ataomba msamaha kwa Mungu..

Mwamuzi Beida Dahane amesisitiza kwamba yeye ndiyo anatakiwa kuombwa msamaha maana anashambuliwa sana kutokana na sakata hili, wakati wanaotakiwa
kushambuliwa ni watu wa VAR...

View attachment 2956306

CHAT ZA DM KATI YA HAJI NA MWAMUZI..

View attachment 2956309
View attachment 2956310
View attachment 2956311
View attachment 2956312View attachment 2956313

Fake account na wewe unamuamini yule kichaa manara

Yaani watanzania rahisi sana kuwa manipulated kwenye mitandao
 
Nina maswali mawili ya kukuuliza:
1)Kama ilikua ni offside kwa nini refa aliwasiliana na VAR kujadili uhalali wa goli?
2)Unajua offside hutokeaje??
Refa kuwasiliana na VAR ROOM ni jambo la kawaida katika muda wote wa mchezo.
Kuhusu offside ya pale utopolo qzizi alipiga shuti likadunda kwenye mstari wa goli mpira ukatoka nje.mchezaji wa mamelodi akaupiga kichwa ukatoka nje.kipa akauchukua ule mpira.refa akaufuata.akawasiliana na var room.wakasema sio goli.kama ingekuwa sio offside ina maana utopolo angepewa KONA apige.ila kwa kuwa ni off side.refa akampa kipa apige yeye.mnafeli wapi?
 
Mpaka aseme huyu refa hatutaki utani...Kubebana kulianza mda tu tangu droo inapangwa Ila moto walokutana nao hawakuamini
 
Utulie wapi wewe kujificha kwenye matokeo ya Yanga ndio kunakufanya kikosi chako kuwa bora? Nimeshiriki confederation mwaka jana nimeishia fainali na mwaka huu Championship nimeishia robo sababu ya mistake ya refa ningekuwa nipo nusu.

Sasa wewe Championship unaishia robo, confederation mpaka mpaka mkaota moto na kuchoma nyasi katikati ya uwanja, mbele ya kamera Africa nzima inawaona na faini mkapigwa na CAF na bado mkaishia robo. Hatufanani kabisa ndio maana wewe kwako robo ushindi.
Mwakarobo JR TULIA ACHA HASIRA🤣🤣
Mmemuona mchawi wenu?
 
Attachments

  • Screenshot_20240405_232604_Gallery.jpg
    Screenshot_20240405_232604_Gallery.jpg
    75.4 KB · Views: 1
Hamna lolote.
Referee Review Area imeekwa kwaajili ya muamuzi kwenda kujiridhisha pia.
Alitakiwa aende akajiridhishe licha ya kusikia kutoka VAR.
Pia mbona kama kajichanganya??
Maana Lomalissa alivyocheza foul yeye aliamua moja kwa moja yellow card ila baada ya sekunde kadhaa VAR ndio wakamwambia akaangalie na nahisi labda wamemwambia akatizame huwenda ikawa ni possible red card ila alipotizama akakataa akasema ni yellow card.
Kwa nini asingefanya hivyo kwenye goli pia??
Kajikanyaga mwenyewe na maelezo yake.
Mbona amesema vizuri wala hajajichanganya.
Kuhusu suala la Lomalisa aliitwa kwa sababu walikuwa na wasiwasi na maamuzi aliyotoa.
Kuhusu goli la Azizi amesema haikuwa ngumu kuamua( haikuwa tight) kwa var, walimwambia siyo goli
 
Mpaka aseme huyu refa hatutaki utani...Kubebana kulianza mda tu tangu droo inapangwa Ila moto walokutana nao hawakuamini
Anatakiwa aanze kusema huyu kwanza.alijuaje kuwa utopolo hafiki fainali?
 
Attachments

  • Screenshot_20240405_232604_Gallery.jpg
    Screenshot_20240405_232604_Gallery.jpg
    75.4 KB · Views: 1
Mashabiki wa Yanga please mkienda kutukana mjitambulishe kama wana Yanga na si watanzania...

mnatudhalilisha sana..
.

Tunaonekana watanzania siyo wastaarabu kwasababu yenu.
Waanze na neno " I'm Yanga fan" afu ndio atiririke 😅😅
 
Utopolo wanatia AIBU TAIFA.

Sana yaani Dah
Nimekumbuka enzi ya samata akiwa epl, ni mashabiki wa Yanga ndio walikuwa wanaenda kuvamia page ya greylish
Ikabidi samata aombe radh na kuwaonya mashabiki wa Yanga kuacha tabia za ajabu

Taifala TZ Lina watu wajinga never seen

Ndio maana CCM inatutawala kirahisi sna

Imagine hadi waziri Hamisi alitoa statement dah huyo ndio Naibu waziri aibu sna
 
Mbona amesema vizuri wala hajajichanganya.
Kuhusu suala la Lomalisa aliitwa kwa sababu walikuwa na wasiwasi na maamuzi aliyotoa.
Kuhusu goli la Azizi amesema haikuwa ngumu kuamua( haikuwa tight) kwa var, walimwambia siyo goli
Kaka MIHEMKO MIBAYA SANA.tuwasamehe tu.ila yote haya kayataka simba kuwabeba hawa.wanakwenda kutia aibu huko.
 
Refa kuwasiliana na VAR ROOM ni jambo la kawaida katika muda wote wa mchezo.
Kuhusu offside ya pale utopolo qzizi alipiga shuti likadunda kwenye mstari wa goli mpira ukatoka nje.mchezaji wa mamelodi akaupiga kichwa ukatoka nje.kipa akauchukua ule mpira.refa akaufuata.akawasiliana na var room.wakasema sio goli.kama ingekuwa sio offside ina maana utopolo angepewa KONA apige.ila kwa kuwa ni off side.refa akampa kipa apige yeye.mnafeli wapi?
Hujitambui wacha nikupe somo la mwisho ili uelewe kesha nitaku block maana sibishani na mafala.
1)Kama ni offside refa angeonesha ishara ya mpira kuwekwa pale ilipotokea offside.Refa kuwasiliana na VAR alitaka kuhakiki uhalali wa goli na ndio maana akatoa ishara ya "no goal"baada ya kuwasiliana na VAR.
2)Hakukua na offside kwasababu Aziz Ki alipiga mpira direct na baada ya hapo hakuna mchezaji yeyote wa Yanga aliyenufaika na ule mpira baada ya kurudi uwanjani.

Nahisi nabishana na kijana wa balehe ngojea niku ignore tu.
 
Back
Top Bottom