Pre GE2025 Mwana CCM ajilipua, alaani mama Samia kutengewa fomu moja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sijawahi kupata mantiki hasa ya awamu hii kuitwa ya 6 badala ya kuwa Rais ndiye wa sita ila awamu ni ya 5

Na kwa sababu hiyo, awamu hii ilitakuwa ikome kwa sababu tayari ni miaka 10, kikatiba, ni nafasi ya wengine na awamu mpya kuelekea miaka 10 mingine, maana yake Rais akale bata na familia yake

Hamu na shauku ya mafisadi, ni kuuacha uongozi unaoyapa ulaji
 
Watu ndani ya CCM wamechoka sasa na kuondoa uoga uliotanda.

Mwana CCM ameamua kumwaga mboga bila kujali nini yatamtokea mbele ya safari.

Amchana Nchimbi na viongozi wote waliopo nyuma ya uchaguzi ujao kuwa wanavunja Sheria ya CCM.
Hakuna uhuru wa kuongea ndani ya CCM..................?
Ajihadhari Sana, watamhamisha kutoka kwenye sayari hii ya dunia.
 
Naona Drama zinatengenezwa kutafuta watakaomsindikiza Mama!
 
Watu ndani ya CCM wamechoka sasa na kuondoa uoga uliotanda.

Mwana CCM ameamua kumwaga mboga bila kujali nini yatamtokea mbele ya safari.

Amchana Nchimbi na viongozi wote waliopo nyuma ya uchaguzi ujao kuwa wanavunja Sheria ya CCM.
View attachment 2978183
Chadema wana fomu moja pia ya mwenyekiti ukitaka kugombea muulize chcha wangwe,zitto kabwe au sumaye!
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Watu ndani ya CCM wamechoka sasa na kuondoa uoga uliotanda.

Mwana CCM ameamua kumwaga mboga bila kujali nini yatamtokea mbele ya safari.

Amchana Nchimbi na viongozi wote waliopo nyuma ya uchaguzi ujao kuwa wanavunja Sheria ya CCM.
View attachment 2978183
Huyu naona ametumwa na walewale waliomtukana mama. Mapambano naona yameanza rasmi.
 
Amchana Nchimbi na viongozi wote waliopo nyuma ya uchaguzi ujao kuwa wanavunja Sheria ya CCM.
Huyu hayuko peke yake lazima ana kundi kubwa nyuma yake
  1. Huku mjadala mkali wa Muungano fake na mzanzibari kuuza rasilimali za Tanganyika
  2. Huku mjadala mpya wa fomu moja ya urais
  3. Kwa mara ya kwanza CDF mstaafu na CDF madarakani kuzungumzia mambo nyeti hadharani
Busara ichukue mkondo wake, sifiasifia FC na wanaozungumziwa wasome alama za nyakati
 
Ningekuwa mm, ningemalizia Awamu ya Magu, nikaenda kulea wajukuu.

Jina lake nani kada huyo?
 
Kwa haya mazoea ya kwamba mtu asishindanishwe hadi miaka 10 itimie ni afya mbaya kwa taifa.
Ikiwa rais ni dhaifu nchi itakuwa pia dhaifu nk.
Ccm watafute ujasiri kuiondoa hii dhana.
 
Watu ndani ya CCM wamechoka sasa na kuondoa uoga uliotanda.

Mwana CCM ameamua kumwaga mboga bila kujali nini yatamtokea mbele ya safari.

Amchana Nchimbi na viongozi wote waliopo nyuma ya uchaguzi ujao kuwa wanavunja Sheria ya CCM.
View attachment 2978183
Huyu ni mhuni kama wahuni wengine wenda anayo hoja sana ila namfahamu vizuri tu ni muhuni ,na ata kwenye mifara ya maaandamo ya chedema sio wote ni watakatifu naishia hapa Bwana hajanipa kibali cha kuendelea andika akinipa nitasema tu mbwai mbwai
 
Sijawahi kupata mantiki hasa ya awamu hii kuitwa ya 6 badala ya kuwa Rais ndiye wa sita ila awamu ni ya 5

Na kwa sababu hiyo, awamu hii ilitakuwa ikome kwa sababu tayari ni miaka 10, kikatiba, ni nafasi ya wengine na awamu mpya kuelekea miaka 10 mingine, maana yake Rais akale bata na familia yake

Hamu na shauku ya mafisadi, ni kuuacha uongozi unaoyapa ulaji
Kuna pointi kubwa hapa
 
Back
Top Bottom