Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,230
- 6,742
Hiyo lafudhi tu tayari ushaonekana we wa wapi, na hawatajiuliza mengi zaidi ya kukula kichwa maana inaonekana unaleta zile depo za legacy🤣Watu ndani ya CCM wamechoka sasa na kuondoa uoga uliotanda.
Mwana CCM ameamua kumwaga mboga bila kujali nini yatamtokea mbele ya safari.
Amchana Nchimbi na viongozi wote waliopo nyuma ya uchaguzi ujao kuwa wanavunja Sheria ya CCM.
View attachment 2978183