Prishaz
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 2,898
- 5,020
Nami niko curious...Anawafanyia nini Mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami niko curious...Anawafanyia nini Mkuu?
Yaani hujaweka clip halafu unasisitiza kama amesikiliza? Bwashee acha basi kutupimbiliza wote.Umemsikiliza lakini bwashee?!
Kuna tofauti kati ya kusababisha kifo na kuua.....uwe unaelewa bwashee!Ina maana yeye ndiye alivaa sare za polisi na kumfyatulia bomu Mwangosi Kisha akahukumiwa na kufungwa kule Iringa? Kwa maana nyingine polisi wameanza kutubia siyo?...
walikuwa wanafungua tawi bila wafuasi?Kwani ishu ya Mwangosi ilikuwa na maandamano? Si walikuwa wanafungua tu tawi tena hata wafuasi wa Chadema hawakuwepo?
Mwambieni hizo kick akalale nazo.
Hapakuwa na vurugu,msidanganye watu.Wilbroad Slaa yupo na Kamhanda naamini hajafa.Ilikuwa utumiaji wa nguvu wa Polisi bila sababu za msingi.Akiongea mjini Rungwe leo mmoja wa vijana aliyekuwa CHADEMA na sasa amehamia CCM amekiri na kutubu dhambi zake kwamba alishiriki maandamano ya Nyololo, Morogoro na Kinondoni yaliyopelekea mauaji ya Mwangosi, Aquilina na muuza magazeti...
Kulikuwa na mtafaruki kati ya polisi waliotoa amri ya katazo na waliokataa kutiiEx kamanda ametiririka sana!
Yeye atakuwa shahidi wa upande mshitaki ambaye ni serikali ya JMT. Atawataja mahakamani hao waliopanga na kutekeleza uhalifu huo.Kumbe alishiriki mauaji aende jela au Kashanegotiate na Bi swalo
Kura ni za lissu hayo mengine maigizo
Hili ni zaidi ya siasa bwashee, usikariri!Siasa Nyepesi Sana Hizi!!
BWASHEEEEE…. sijakusoma kwenye ule uzi wa VITAMBULISHO VYA WAMACHINGA!Ex kamanda ametiririka sana!
Akiongea mjini Rungwe leo mmoja wa vijana aliyekuwa CHADEMA na sasa amehamia CCM amekiri na kutubu dhambi zake kwamba alishiriki maandamano ya Nyololo, Morogoro na Kinondoni yaliyopelekea mauaji ya Mwangosi, Aquilina na muuza magazeti.
Kijana huyo ambaye alikuwa anaongea mbele ya makamu wa Rais mama Samia na wananchi wa Rungwe amesema maandamano hayo yalikuwa ni utekelezaji wa Azimio la Mwanza lililokuwa linatekelezwa na CHADEMA.
Amesisitiza kuwa akiwa CHADEMA ameshiriki uharamia mwingi na kufungwa jela mara kadhaa kwa maslahi ya chama lakini sasa imetosha anaomba toba kwa Mungu na anaamini CCM ni mahali salama tofauti na CHADEMA walikosheheni wahuni.
Nitajaribu kuweka clip ili mumsikie ninyi wenyewe, Inatisha.
Maendeleo hayana vyama!
mtajisema wenyewe, ipo siku na wewe utatubu huku ukibubujjikwa machozi..Kwani ishu ya Mwangosi ilikuwa na maandamano? Si walikuwa wanafungua tu tawi tena hata wafuasi wa Chadema hawakuwepo?
Mwambieni hizo kick akalale nazo.
Kaibuka mwingine anaitwa MZEE SHOMARI!Mzee Mgaya View attachment 1576772