Mwana FA amkana Baba yake mzazi

Ila tukumbuke mzazi ni mzazi tu...mimi kwangu haijalishi nn kilitokea huko nyuma lkn wazazi wangu niliwapa upendo sawa. Ingawa kuna miaka dingi alikuwa na mchepuko akamzingua sana maza lkn mwisho wa siku walielewana na maisha yakaendelea mpk alipofariki na muda wote wa matatizo sikuwahi kuchagua upande
 
Kumbuka hata mtoto ni mtoto tu...

 
kweli aisee hata kama ni mimi nakukataa hata kama nakujua maana hana tofauti na muuaji, kama niko kwenye uhitaji wa baba hunitaki leo nisimame ndo uje ili iweje sasa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…