Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Ukinikana leo, nitakukana kesho. Jino kwa jino...
Mzee reflect where did you go wrong in your son’s life.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee reflect where did you go wrong in your son’s life.
Wazee wa kufyatuaa. Halafu mtoto atajijua mwenyewe.
Mwambie aende Magogoni aliyehamasisha UFYATUAJI anaweza kumsaidia
Sio bia hiyo ni redbull
Yani hapo Mwana FA hawezi kataa.. Ni copy kabisaWame fanana sana
SwadataKuzaa siyo kazi. Kazi ni kulea...
Si mnapenda chura nyie, mnaoa wake flat mnatafuta hawara wenye churaNdiyo matokeo ya kulelewa na mzazi mmoja huku baba ukikata mitaa na wanawake wengine
Ni vigumu kumkana mama mkuuhizi issue za wasanii wetu wa kibongo kuwakana mababa zao naona kama vile zimeshazoeleka kama vipi mtuletee na za wasanii kuwakana mama zao
Unajua nini?hizi issue za wasanii wetu wa kibongo kuwakana mababa zao naona kama vile zimeshazoeleka kama vipi mtuletee na za wasanii kuwakana mama zao
Duh kama pacha na Mwana Fa, Mzee ana damu kali.Akiwa Kenya na bendi yake View attachment 1043368
Ila tukumbuke mzazi ni mzazi tu...mimi kwangu haijalishi nn kilitokea huko nyuma lkn wazazi wangu niliwapa upendo sawa. Ingawa kuna miaka dingi alikuwa na mchepuko akamzingua sana maza lkn mwisho wa siku walielewana na maisha yakaendelea mpk alipofariki na muda wote wa matatizo sikuwahi kuchagua upande
Hakuna kosa lisolo na msamaha.... Sema huwa inaumiza sana mshua kukukanaNaomba lisinitokee japo mzee kashalikoroga toka zamani
Vijana mnacheza peku halafu mimba mnazikataa mkuu inaumiza sana, matokeo yake mnawakana watotoNdiyo matokeo ya kulelewa na mzazi mmoja huku baba ukikata mitaa na wanawake wengine
kweli aisee hata kama ni mimi nakukataa hata kama nakujua maana hana tofauti na muuaji, kama niko kwenye uhitaji wa baba hunitaki leo nisimame ndo uje ili iweje sasa !Hayo ndiyo matokeo ya kuzalisha halafu unaingia mitini halafu unajiona mjanja kuwadharau single mothers. Mwanaume mwenzangu kama ulitelekeza mtoto na mama yake hakikisha hauhitaji msaada uzeeni. Watoto wa siku hizi siyo wale wa enzi zile sasa hivi JINO KWA JINO. UKINIKATAA BAADAE NITAKUKATAA