busha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 1,712
- 2,577
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee anayaunguza maini
Mkuu chambua picha vizuri kabla ya kukimbilia kuchangia..bia iko wapi hapo , hiyo ni Redbull.
Ila tukumbuke mzazi ni mzazi tu...mimi kwangu haijalishi nn kilitokea huko nyuma lkn wazazi wangu niliwapa upendo sawa. Ingawa kuna miaka dingi alikuwa na mchepuko akamzingua sana maza lkn mwisho wa siku walielewana na maisha yakaendelea mpk alipofariki na muda wote wa matatizo sikuwahi kuchagua upande
Mungu akuzidishie kwa roho nyepesi!Ni kiri tu mkuu, mimi ni miongoni mwa waliopitia hii dhahamaHadi sasa naishi kwa Anko tangu nikiwa na miaka 7, anko kanipeleka shule maana mzee alikataa na hata ndugu zangu wengine waliokuwa wanaishi na mzee walikataliwa kupelekwa shule. Maza alikomaa kivyake akawapeleka shule ndugu zangu wengine aliokuwa anaishi nao, Bro wangu alianzia MEMKWA hatimaye alifanikiwa kumaliza form 4 na Mungu akajalia akasonga mbele japo hajapitia Advance.
Mimi nilikomaa kwa Anko kibishi japo tunajua namna ya malezi kwa wasiokuwa wazazi wako yalivyo, nilisoma primary, secondary(O-level & A-level) hadi Chuo nishahitimu nipo mikononi mwa Anko huku Mzee yupo mzima wa Afya tu na hajawahi kuchangia hata kidogo kwenye malipo ya masomo yangu.
Nikifikiria mzee alivyokuwa mkatili ninaumia sana ila naishia kusema hakujua alitendalo na nishamsamehe, life linaendelea..
Wazee mara nyingi wanakuwa na viburi sana lakini pia wanawake nao wanachagia katika haya mambo ikiwemo kupandikiza chuki juu ya wazee kwa watoto.Mimi nishamsamehe, tunakula sahani moja kote kote na walionilea na yeye pia
Mara nyingi hawa wazee huwa wanaviburi ila hawafikirii mbali yatakayotokea hasa wakifika umri wa uzee.
Laiti wangejua siku moja wataachwa na watoto wao kama walivyowaacha wao wasingethubutu kufanya hivyo
Eti inaitwa LedibluuMkuu chambua picha vizuri kabla ya kukimbilia kuchangia..bia iko wapi hapo , hiyo ni Redbull.
Hayo ni malipo ya Kukana watoto.Hichi kizazi nacho kimezidi kuwakana baba zao...
Super hero daddy
Nakazia............Hayo ndiyo matokeo ya kuzalisha halafu unaingia mitini halafu unajiona mjanja kuwadharau single mothers. Mwanaume mwenzangu kama ulitelekeza mtoto na mama yake hakikisha hauhitaji msaada uzeeni. Watoto wa siku hizi siyo wale wa enzi zile sasa hivi JINO KWA JINO. UKINIKATAA BAADAE NITAKUKATAA
wengi wako kimya tuNa Wasanii wengi wamelelewa na mzazi mmoja ni huzuni kubwa.
ukiwaangalia wakicheka wanafanana sana hadi dental fomulaLabla baba mlezi.
Mkuu inawezekana huyu baba wana udugu na baba yake mzazi mwana FA ukute mtu na kaka yake.ukiwaangalia wakicheka wanafanana sana hadi dental fomula
mdingi alikataa katakata kwamba huyo siyo mtoto wangu sasa hivi anapiga U TURN
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kiri tu mkuu, mimi ni miongoni mwa waliopitia hii dhahamaHadi sasa naishi kwa Anko tangu nikiwa na miaka 7, anko kanipeleka shule maana mzee alikataa na hata ndugu zangu wengine waliokuwa wanaishi na mzee walikataliwa kupelekwa shule. Maza alikomaa kivyake akawapeleka shule ndugu zangu wengine aliokuwa anaishi nao, Bro wangu alianzia MEMKWA hatimaye alifanikiwa kumaliza form 4 na Mungu akajalia akasonga mbele japo hajapitia Advance.
Mimi nilikomaa kwa Anko kibishi japo tunajua namna ya malezi kwa wasiokuwa wazazi wako yalivyo, nilisoma primary, secondary(O-level & A-level) hadi Chuo nishahitimu nipo mikononi mwa Anko huku Mzee yupo mzima wa Afya tu na hajawahi kuchangia hata kidogo kwenye malipo ya masomo yangu.
Nikifikiria mzee alivyokuwa mkatili ninaumia sana ila naishia kusema hakujua alitendalo na nishamsamehe, life linaendelea..
Wazee mara nyingi wanakuwa na viburi sana lakini pia wanawake nao wanachagia katika haya mambo ikiwemo kupandikiza chuki juu ya wazee kwa watoto.Mimi nishamsamehe, tunakula sahani moja kote kote na walionilea na yeye pia
Mara nyingi hawa wazee huwa wanaviburi ila hawafikirii mbali yatakayotokea hasa wakifika umri wa uzee.
Laiti wangejua siku moja wataachwa na watoto wao kama walivyowaacha wao wasingethubutu kufanya hivyo
Kujifunza kitu kwenye vitu vya kufikirika tu visivyo na uhalisia?Swadaqta !!
Naomba usone kisa hiki
Kisa kama hiki kilitokea huko (jina na mji kapuni) " Jamaa baada ya kufariki dunia akaamua kwenda hadi mlangoni mwa jahanamu kuulizia maSwahiba zake...!! Akajibiwa kuwa msawahiba zako uliowaacha duniani walishatubu baada ya kifo chako, hivo hapa hawapo !! "
Jee msomaji umejifunza nini ktk issue hii !!
Mungu akuzidishie kwa roho nyepesi!
Mungu akuongoze umsaidie anko mkuu maana kuchukua jukumu la mtu( baba ako) aliekua hai akajifanya amekufa kwa kujifanya dume la mbegu sio kazi ndogo aliyoifanya mjomba.
yote yaweza kuwa kweliMkuu inawezekana huyu baba wana udugu na baba yake mzazi mwana FA ukute mtu na kaka yake.
Amina mkuuAmiin mkuu.
Na wewe akubariki sana na akufanyie wepesi katika mambo yako ya kila siku yaliyo mema kwa dua yako hii
Fuata nafsi yako inavyopenda na usiidhulumu hata kidogo.Upuuzi huo mie nimeukataa kwanza hatuna bond yoyote na hata tukikaa hatuna la kuongea mi na yeye mbalimbali hana mchango wowote katika Maisha yangu, ukaribu na Mimi aliuanza baada ya kusikia niko chuo kikuu, pasipo kuwa na mchango wowote katika Safari yangu ya Maisha na kielimu. Simuhitaji kwa lolote km ushauri naupata kwa aliyenilea, awepo asiwepo it doesn’t make any difference.