Mwana FA ampa vifaa vya mazoezi Mzee Zahir Ally Zorro

Mwana FA ampa vifaa vya mazoezi Mzee Zahir Ally Zorro

Hongera sana MwanaFA kwa sadaka hii kubwa, Mungu akubariki....though bado utapingwa sana ht ktk kutenda mema
 
Amempa kama mwana FA au kama Naibu Waziri? Vp kuhusu Hassan Rehan Bichuka naye anasaidiwaje?
 
Niliona mitandaoni beki wa zamani Alphonce Modest amelala kitandani zaidi ya miaka 10 anaumwa,na yupo kijijini kwenye nyumba ya udongo,ni vema nae akapata msaada
 
Niliona mitandaoni beki wa zamani Alphonce Modest amelala kitandani zaidi ya miaka 10 anaumwa,na yupo kijijini kwenye nyumba ya udongo,ni vema nae akapata msaada
Nae apelekewe Gym!!
Hii nchi imelogwa hii
 
Lazima uwe waziri ndo umsaidie mtu? Dah! Maskini mna roho mbaya sana aisee.
Una kiwango gani cha Elimu??ni jukumu la Wizara ya Michezo kushughulikia masuala ya wanamichezo na wanamuziki maana wapo chini ya Wizara hiyo,na pia Wizara lazima itakuwa na Fungu kwenye bajeti mahususi kwa kusaidia wanamichezo,mbona hujamuonna Waziri wa Kilimo kwenda kumsaidia Mzee Zollo?wewe uliye na ID ya kichawa ya Mama Samia 2025 umesaidia nini??CHOKO wewe
 
Back
Top Bottom