Mwana FA ampa vifaa vya mazoezi Mzee Zahir Ally Zorro

Mwana FA ampa vifaa vya mazoezi Mzee Zahir Ally Zorro

Amefanya jambo.jema kama wizara ama yeye yote ni mema
 
Ni neema ya Mungu tu,Kikwete ana 74 bado yuko fit,babu yangu aliendesha baiskeli mpaka akiwa na miaka 80+
Yes hao wote uliowataja ni kwamba wana exercise kujenga muscles, babu yako yupo vizuri 💪, sababu when you hit 30's unaanza ku lose muscles kama usipofanya juhudi ndio hivo japo sio wote.
 
Back
Top Bottom