Mwana FA ampa vifaa vya mazoezi Mzee Zahir Ally Zorro

Huyo mzee anaweza hata inuka mwenyewe huyo!?
Wajinga hao mkuu mzee wa miaka 70 kwa wenzetu wa ulaya bado wanakua na nguvu za kutembea na kufanya shughuli za kila siku. Huyo siyo wa kumpa vifaa vya maziezi kama ujana wake alikua siyo mtu wa mazoezi ni kazi bure vitaozea ndani tu.
 
Huyo anahitaji mazoezi ya viungo ambayo sio intensive, anahitaji trainer wa kuhakikisha anafanyishwa mazoezi kwa kiasi cha udhaifu alionao...
 
Wachawi lazima muwepo kupinga mambo mema. Hongera kwa kuwawakilisha wenzio
 
Sheria ya mwaka gani inasema wizara ya michezo ihudumie wagonjwa waliowahi kuwa wanamichezo? Wewe mbona ni mpumbavu kiasi hiki? Kwa hiyo na wizara ya kilimo huwa ina fungu la kuhudumia wakulima wagonjwa? Hasira zako za kimaskini usilete hapa.
 
Hakuna fungu wizara ya michezo kusaidia wanamichezo, hakuna fungu wizara ya fedha kusaidia manesi na madaktari, hakuna fungu wizara ya elimu kusaidia walimu.
 
Daah!! Afya ya mzee Zoro imetetereka Sana.
 
Sheria ya mwaka gani inasema wizara ya michezo ihudumie wagonjwa waliowahi kuwa wanamichezo? Wewe mbona ni mpumbavu kiasi hiki? Kwa hiyo na wizara ya kilimo huwa ina fungu la kuhudumia wakulima wagonjwa? Hasira zako za kimaskini usilete hapa.
hakika MACHOKO hamtaisha Nchi hii
 
Mtu hatembei ananunuliwa vifaa vya mazoezi badala ya kupewa matunzo nauangalizi , waswahili hawajawahi kuwaza kitu chenye faida wao nimaonyesho tu
 
Wajinga hao mkuu mzee wa miaka 70 kwa wenzetu wa ulaya bado wanakua na nguvu za kutembea na kufanya shughuli za kila siku. Huyo siyo wa kumpa vifaa vya maziezi kama ujana wake alikua siyo mtu wa mazoezi ni kazi bure vitaozea ndani tu.
Kuwa na nguvu uzeeni haihusiani na kuwa upo ulaya au Africa, hata hapa bongo pia wapo wazee wanamiaka 70+ na wananguvu tu , mfano yule mzee mpili wa Yanga nahisi kashatoboa miaka 70 ila ana fujo kama zote
 
Jamani watu haiwezekani kuwa na mawazo sawa. Sijaona sababu ya watu kuongea kwa lugha ngumu eti kisa katoa msaada ambao wewe unauona sio sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…