Mwana FA angeendelea fujo ingetokea ni bora alisitisha, tujitafakari sana

Mwana FA angeendelea fujo ingetokea ni bora alisitisha, tujitafakari sana

Siasa kama zile alizotaka kuzi approach pale si mahali pake. Wajifunze ni wapi ni muafaka kupepelea siasa. Naonaga makanisani huo mtindo umezidi sana, mwanasiasa kawakilisha/kawasilisha mchango bosi wake alioahidi kutoa halafu kidampa anaanza kumwaga sifa kanisani na hakuna reaction yoyote anatoka salama. Makundi mengine si ya kumwaga sifa hizo upepo wa kisiasa haujatulia unavuma vibaya
 
Nimepata hofu sana, Kwa Nini lakini tumefika huku, kweli mazungumzo ya kisiasa ni muhimu? Kwenye show isio husu siasa?, Kuna chupa zinge rushwa wallah, safi sana muheshimiwa Kwa. Kuliona hilo
Samia aliuwa watu ? Jibu ni ndiyo
Unaweza kuuwa watu Tena uliowaita siyo watanzania Kisha ndugu jamaa na marafiki zao ukawasahaulisha kwa miziki?
Unafikiri watu kushinda na kulala ndani juzi kuwaogopa kina muliro ilimaanisha hapakuwa na maandamano?
Majibu yake yote ndo kile kilichotokea Jana kwa huyu mwana fa sijui nani wenu
 
FA ni mmoja wa wasanii nampa heshima sana ila kwa hili kazingua sana , kajishushia heshima tu kuleta siasa pale.
 
Show ilikuwa well organized ila sio sahihi kuweka siasa

Ni kweli serikali imefanya mambo makubwa kwake kama kumpa ubunge , n.k

Ila anabidi anapopata nafasi atazame zaidi audiences ipoje hii itamjenga sana .
 
Back
Top Bottom