Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Ongezea nyama hatujaelewa mzee wa CubaNimepata hofu sana, Kwa Nini lakini tumefika huku, kweli mazungumzo ya kisiasa ni muhimu? Kwenye show isio husu siasa?, Kuna chupa zinge rushwa wallah, safi sana muheshimiwa Kwa. Kuliona hilo
Naona akienda kutumbuliwa,kazi imemshinda!.Nimepata hofu sana, Kwa Nini lakini tumefika huku, kweli mazungumzo ya kisiasa ni muhimu? Kwenye show isio husu siasa?, Kuna chupa zinge rushwa wallah, safi sana muheshimiwa Kwa. Kuliona hilo
Raia wamegoma asiongee mambo yoyote wao wanacho taka ni mziki basi, ndo kilicho waleta , hili tukio limetokea kwenye show miaka 30 ya bongo fleva inayoendelea sahivi dar es salaam ,m cityOngezea nyama hatujaelewa mzee wa Cuba
Watu wako maji kifuatacho, pasinge kualika mkuuAngechezea mabanzi leo, dully nae alitaka alete habari hizo
Bora alilewa akazuga akakaushaWatu wako maji kifuatacho, pasinge kualika mkuu
Ongezea nyama hatujaelewa mzee wa Cuba
Bashite kama kawaida yake kampigisha shot mwenzake.Naona akienda kutumbuliwa,kazi imemshinda!.
Samia aliuwa watu ? Jibu ni ndiyoNimepata hofu sana, Kwa Nini lakini tumefika huku, kweli mazungumzo ya kisiasa ni muhimu? Kwenye show isio husu siasa?, Kuna chupa zinge rushwa wallah, safi sana muheshimiwa Kwa. Kuliona hilo