Siasa tamu bhana ukipatia, JAmaa amesema atarejea tena
Mbunge wa Jimbo la Muheza na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Hamis Mwinjuma "Mwana FA" amesema atagombea tena Ubunge wa Jimbo la Muheza katika mwaka huu wa Uchaguzi 2025 ili kuendelea kuwaletea Maendeleo Wananchi wa Muheza
Mwana FA ameyasema hayo kwenye Kongamano la fursa na Uongozi kwa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Muheza ambapo amesema lolote linalotakiwa kufanyika ili awe mbunge wa Jimbo hilo litafanyika
"Mwaka wa uchaguzi nitagombea tena Ubunge, bado ninautaka Ubunge wa Muheza, na nautaka hatari ukiniangalia usoni unaona huyu anautaka Ubunge" amesema Hamis Mwinjuma
Amesema Mwaka 2020 wakati anaomba Ridhaa ya kuwa Mwakilishi wa la Jimbo la Muheza waliahidiana mambo yaliyokuwa yakiongozwa na kurasa 303 za Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambayo tayari yametekelezwa kwa kiwango kikubwa
Siasa tamu bhana ukipatia, JAmaa amesema atarejea tena
Mbunge wa Jimbo la Muheza na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Hamis Mwinjuma "Mwana FA" amesema atagombea tena Ubunge wa Jimbo la Muheza katika mwaka huu wa Uchaguzi 2025 ili kuendelea kuwaletea Maendeleo Wananchi wa Muheza
Mwana FA ameyasema hayo kwenye Kongamano la fursa na Uongozi kwa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Muheza ambapo amesema lolote linalotakiwa kufanyika ili awe mbunge wa Jimbo hilo litafanyika
"Mwaka wa uchaguzi nitagombea tena Ubunge, bado ninautaka Ubunge wa Muheza, na nautaka hatari ukiniangalia usoni unaona huyu anautaka Ubunge" amesema Hamis Mwinjuma
Amesema Mwaka 2020 wakati anaomba Ridhaa ya kuwa Mwakilishi wa la Jimbo la Muheza waliahidiana mambo yaliyokuwa yakiongozwa na kurasa 303 za Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambayo tayari yametekelezwa kwa kiwango kikubwa View attachment 3230473
Kwani Kuna mbunge ambae ameshatangaza kuwa hatagombea au kurudi tena? Hata wa viti maaulumu na wale wa nafasi 10 za kuteuliwa na Rais Wana matumaini ya kuendelea Tena, mwendo wa Mbowe style kutolewa kwenye box la kura aka kwa debe