Pre GE2025 Mwana FA asema atagombea tena ubunge wa jimbo la Muheza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu Ni Mbeleko Ya Mzilankende Ndiyo Yalimpa Ubunge
Muda Huu Hatoboi
 
hawezi kushinda, wanafikiri magufuli bado yupo hai.
 
Huyo Bungeni kurudi labda kwa Mbereko tu ,
Wabunge wengi waliobebwa 2020 wajiandae kulima ,kwanza hata kampeni zenyewe hawajui , walibebwa bebwa tu
 
Anajivunia jimboni kwake watu kunywa maji yenye tope hiyo ndio falsafa?
 
Ameshahakikishiwa kubebwa tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…