Mwana FA atakuwa Naibu Waziri mbovu kuwahi kutokea Tanzania. Hatatoa msaada kwa wasanii zaidi ya kuwagawa

Kushindwa kwske kufanya hivyo Hapo baadae ama karibuni so Jambo la kutisha. Wameshindwa wangapi aweze yeye?
Nb
Anaweza kubadili Mambo kadhaa ambayo yeye binafsi kashaona Ni vikwazo vya maendeleo ya wasanii.
Ila wabongo Wana roho mbaya nyie! Yaani hawataki kuamini na kukubali Kwamba FA Ni naibu waziri hivyo. Wanatamani wangekuwa wao. SA we'we Babu Talee unautaka uwaziri elimu yenyewe iko wapi zero brain?








Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
dr abbas alikuwa naibu waziri?
 
Rais na washauri wake wamemuweka kisiasa ili avutie watu wa sanaa na burudani na michezo wajisikie ni sehemu ya serikali. Lakini huyu mtoto wa kitanga hakuna jipya atafanya. Nasubiri tuone atafanya nini kipya zaid ya roho mbaya na kauzibe

Sijajua una siri gani lakini wewe unadhani naibu waziri anaweza kiwa na maajabu gani nje ya sera na mikakati ya wizara. Hata mawazo yake yanahitaji muda na kibali cha Bosi wake . Ni ngumu sana kujudge mtu wa hadhi hiyo. Sasa wewe umekuja hapa na hasira sana.
 
Niki wa Pili anafaaa kuwa waziri sema tu si mbunge. Alafu sasa ushangae Joketi ni mtu poa na msaada na ni demu kuliko huyo njiti.

Unamtukana. Unaleta personal hatred kwetu Sisi. Embu grow up na kuwa a responsible person. Hilo Ni gubu la Kike Tena mke mwenza.
 
Mi sjui anafanyaje kazi
 
Uliposema "hawa ni wazungu" ndio tumepotezana!
 

Jamaa mjivuni kweli kweli.
Mwaka 2021 nikiwa na kikosi kazi flani tukiwa tunaratibu zoezi flani mahala ambapo sio mbali na jimboni kwake basi jamaa akahitaji tufike na eneo lake tusaidie wapiga kura wake.

Aliomba kwa mabosi wetu hivyo tukafahamishwa na tukapewa namba yake ya simu, shughuli ikaanza jamaa hapokei hata simu hata upige vipi.

baada siku mbili akapokea kwa mbwembwe na kuongea kwa dharau flani basi tukaifanya ile kazi lakini jamaa ni mtu hovyo tofauti nilivyokuwa nikimuona katika mziki na nilikuwa shabiki yake hata kabla ya kujua ataingia kwenye siasa.

Kifupi baada ya kisa cha 2021 nilimshusha jamaa credit hata nyimbo zake sina mzuka nazo jamaa msela mavi tu

Nimefupisha hicho kisa
 
Inategemea maana wengine anatuheshimu! Niishie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…