Mwana FA auangana na mastaa wa USA kwenye game la All Stars - NBA

Sitashangaa ukiandika "mziki unalipa, mwana fa anakula Pizza"
 
Siku nikipanda ndege nita note mahali kama kumbu kumbu muhimu ya maisha yangu...
 
"Simba kula mtu ni habari ila mtu kula simba ni habari ya kusisimua"
 
comment nyingi za humu ndani zinaonyesha uhalisia wa watanzania, karibu kila comment inalenga kuponda mafanikio ya huyu msanii, yaani wabongo wengi wana wivi wa mafanikio ambayo hawawezi kuyapata, kibaya zaidi haya mafanikio ndio yanakuwa chanzo cha chuki, guys wake up this guy is already a role model to others, mafanikio hayaji kirahisi kinamna hivyo, big up f.a more success, more friends and more haters
 
Dah nilizani Binamu kanunua jet kumbe kapanda!! Kweli bado tunasafari ndefu.
 
Akajenge nyumba ya baba yake ya staili ya maputo kijitonyama....inayotaka kubomoka!!!
 

Huyo Boss wa HSC mbona anawafadhili sana hawa wasanii? Kamnunulia Jumba Idrisa BBA winner na sasa kamlipia FA nauli,anafaidika na nini? hapa kuna mawili either kuna mchezo mchafu kama wa melei balabuu au anawabebesha sembe.
 
Hapa tunamzungumzia mwanamziki wa bongo fleva. Mambo ya zamani na sasa hayo ni maoni yako.

Kama ni kitu cha kawaida mbona nafasi za hizo first na business class ni chache. Kwa nini isiwe ndege nzima kama wewe unavyoona ni kitu cha kawaida?
Chache ngapi? na unazungumzia ndege ya aiana gani na shirika gani? kama ni Emirates Business class ndege ndogo ni 42seats na kama ndege kubwa ni 76 seats in business? kama unazungumzia Air Tanzania au shirika jengine sawa.
lakini nakuelewa ukisema hivyo unasemea kwa mengi ,wacha niishie hapa.........
 
Humu ndan wengi mnasumbuliwa na wivu, kama kwako kawaida mbona yanakutoka maneno hivyo..? Wengine hata nauli ya basi tu mnabargain
 
Hakuna tatizo lolote la kupiga picha kwenye ndege,ni kuweka kumbukumbu na sio ushamba kama watu wanavyotoka mapovu.
View attachment 226933
Calvin Twisa Akiwa Newyork City-JFK International Airport

 
Huyo Boss wa HSC mbona anawafadhili sana hawa wasanii? Kamnunulia Jumba Idrisa BBA winner na sasa kamlipia FA nauli,anafaidika na nini? hapa kuna mawili either kuna mchezo mchafu kama wa melei balabuu au anawabebesha sembe.


Idriss hakununuliwa na salah.

Pia idriss alikuwa mfanyakazi wa kampuni mama ya hiyo HSC iitwayo I_View.

Kuhusu b na huyo jamaa ni washkaji toka utotoni.


Tuwe angalau na positive attitude na hawa wasanii
 
Mziki au mshahara wa clouds tusiuziane mbuzi kwenye gunia bana


Fa anafanya kazi clouds?

Hivi ukiwa msanii ,ni dhambi kuwa na dili nyingine?

Unadhani ay muziki unamlipa kihivyo kwa vyote alivyokuwa navyo?
 
kupanda ndege nayo ni mafanikio?
 
habari nyingine zinchekesha sana. Mpe hongera dogo kwa kukaa business class isiwe taabu maana kila mtu ana fantasy zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…