Afu wengi wao hapo hata hiyo Business Class yenyewe hawajaigusa na wakiigusa basi fahamu ni safari ya kikazi wanayolipiwa na ofisi!! Jamaa kalipa kwa hela yake aliyoitolea jasho mwenyewe, mara oh, show-off aaaaaaaargh! Wengine humu utasikia, "oh cku moja ilikuwa KLM ile tunafika nanii tu...." aaaaaargh! Sasa kuna tofauti gani na mtu anayepiga picha na ku-post instagram ikiwa wewe hakuna aliyekuuliza unatuambia habari za KLM cjui nini na nini... likely m2 kama huyo na yeye angekuwa star basi lazima angepiga picha tu na kutopostia hapa kuelezea safari yake ndani ya KLM!Mawivu tu yametujaa, ma stress yasiyo na maana. Na hli la mb 8 ndo limezidisha njaa