University_Promo
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 749
- 661
Mwangwi wa sauti ya kusikiliza haichagui umri. Kwakua hata wao wasinii wenyewe wanakili ni nyimbo ya ki utu uzima, maana yake nyimbo ina kasoro. Mimi naungana na basata, hatuungi mkono kufungiwa wasanii nyimbo zao bali kuwatia adabu kidogo. Na kwakua wasafi ndo magwiji wa music kwa sasa kuwaadhibu wao ndo Mahala pake. Ukitka kumdhibiti nyoka mkamate kichwani.Harakti bado zinaendelea kama kawaida kuhusiana wimbo wa mwanamziki Rayvanny na Diamond Platnumz a.k.a Baba Tiffa wa Mwanza Nyegezi.
Na mambo yapo kama hivi.
Rapper Mwana FA ametinga BASATA kama mjumbe wa Bodi la Baraza hilo,Kuomba adhabu iliyotolewa kwa Rayvanny na Diamond Platnumz kufungia wimbo wa wao wa Mwanza Nyegezi aidha ifutwe au ipunguzwe.
Akiongea na Waandishi wa Habari mapema Leo Novemba 14,2018 Mwana FA amesema wimbo wa Mwanza ni mzuri kusikiliza kwa kijana aliyevuka miaka 18, hivyo BASATA wangeangalia na namna ya kufuta adhabu hiyo.
"Alisema MWANA FA"
==============================
Vipi kuhusiana na wewe mdau?
Toa maoni yako.
Sisi tupo kwenye mchakato wa kukata rufaa wafungulie wimbo wa manungayembe....Mimi naona basata ifungiwe tu maana hawa jamaa hawana msaada wowote kwenye sanaa
utakufa siku si zako kwa roho mbaya nyegezi weweMwangwi wa sauti ya kusikiliza haichagui umri. Kwakua hata wao wasinii wenyewe wanakili ni nyimbo ya ki utu uzima, maana yake nyimbo ina kasoro. Mimi naungana na basata, hatuungi mkono kufungiwa wasanii nyimbo zao bali kuwatia adabu kidogo. Na kwakua wasafi ndo magwiji wa music kwa sasa kuwaadhibu wao ndo Mahala pake. Ukitka kumdhibiti nyoka mkamate kichwani.
basi ntakufa kwa siku zako wewe au we unasemaje!utakufa siku si zako kwa roho mbaya nyegezi wewe
Mimi naona basata ifungiwe tu maana hawa jamaa hawana msaada wowote kwenye sanaa[/CHUKI binafsi hizo
Hivi ni kipi kwa mfano kinachokufanya uamini ule wimbo haufai?! Unaweza kunitajia mistari michafu kwenye ule wimbo?!Mwangwi wa sauti ya kusikiliza haichagui umri. Kwakua hata wao wasinii wenyewe wanakili ni nyimbo ya ki utu uzima, maana yake nyimbo ina kasoro. Mimi naungana na basata, hatuungi mkono kufungiwa wasanii nyimbo zao bali kuwatia adabu kidogo. Na kwakua wasafi ndo magwiji wa music kwa sasa kuwaadhibu wao ndo Mahala pake. Ukitka kumdhibiti nyoka mkamate kichwani.
swali lako waulize wcb ambao wanasema ule wimbo ni kwaajili ya watu wazima tu. Tena wakaenda mbele zaidi kwa kusema hata wasafi festival utapigwa usiku mnene tu.Hivi ni kipi kwa mfano kinachokufanya uamini ule wimbo haufai?! Unaweza kunitajia mistari michafu kwenye ule wimbo?!
Jibu swali lake acha kupuyanga puyanga na roho yako mbaya yakimaskiniswali lako waulize wcb ambao wanasema ule wimbo ni kwaajili ya watu wazima tu. Tena wakaenda mbele zaidi kwa kusema hata wasafi festival utapigwa usiku mnene tu.
Nimekuuliza wewe! Kama huna jibu, sema huna jibu!swali lako waulize wcb ambao wanasema ule wimbo ni kwaajili ya watu wazima tu. Tena wakaenda mbele zaidi kwa kusema hata wasafi festival utapigwa usiku mnene tu.
Namshangaa, mimi nimemuuliza yeye, anatupa mpira kwa wengine!!Jibu swali lake acha kupuyanga puyanga na roho yako mbaya yakimaskini