University_Promo
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 749
- 661
Harakti bado zinaendelea kama kawaida kuhusiana wimbo wa mwanamziki Rayvanny na Diamond Platnumz a.k.a Baba Tiffa wa Mwanza Nyegezi.
Na mambo yapo kama hivi.
Rapper Mwana FA ametinga BASATA kama mjumbe wa Bodi la Baraza hilo,Kuomba adhabu iliyotolewa kwa Rayvanny na Diamond Platnumz kufungia wimbo wa wao wa Mwanza Nyegezi aidha ifutwe au ipunguzwe.
Akiongea na Waandishi wa Habari mapema Leo Novemba 14,2018 Mwana FA amesema wimbo wa Mwanza ni mzuri kusikiliza kwa kijana aliyevuka miaka 18, hivyo BASATA wangeangalia na namna ya kufuta adhabu hiyo.
"Alisema MWANA FA"
==============================
Vipi kuhusiana na wewe mdau?
Toa maoni yako.