Mwana FA & AY acheni utapeli, hamna miziki yenye thamani ya Bilioni 2.1, Tigo gomeni

Nimesoma , na nimejaribu kucheki option ya kuufuta uzi huu ila sioni sehemu ya ku delete thread. Sasa embu niokoee ndugu yako tell the mods to take down this post, yaani waufute
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ubongo sijui umechanganyika na maji? Ukishatumia kazi ya mtu bila idhini yake basi pesa anapanga yeye na mahakama inajiridhisha tu. Sasa njoo na matusi uone kama sijakudai billion 10 [emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda shule ,soma upate llb,Uende law school,uwe wakili ,ufanye kazi miaka 5 uingie mahakama ya rufaa kupinga na hapo tayari una grounds of appeal
 
Wanastahili hiyo ela ni haki yao, ila nitasikitika sana tena sana endapo ktk mgao wakimsahau Hermy B kwani wasanii wa bongo hawathamini maproducer wao kwani ktk lile tangazo iliyotumika ni biti na si wimbo wote.
 
Unajua Tigo wamepata pesa ngapi kutokana Na hizo kazi walizoiba?.

Unaposema hazina thamani hiyo, wewe umesomea kukadiria thamani ya nyimbo?

Unadhani walipaswa kudai pesa ngapi?

Unashindwa kuwalaumu Tigo walioiba, unawalaumu walioibiwa?

Siyo kwa WIVU HUO mkuu!
 
To be honest toka naanza kutumia JF mpaka leo hii sijawahi kukutana na uzi ambao kila post inayotoka ni kushambulia tu. Hakuna hata post moja iliyounga mkono alichoandika mleta mada. Hii inaweza ikawa record asee...
 
Aisee yaani imekuuma sana kumbe...
Haya wamekusikia watagoma na hiyo hela watakupa wewe ukafaidike na familia yako
Jamaa kaumia roho utadhani aliwasaidia kuandika mistari ya nyimbo zao....
 
Usioongee usichokijuwa mkuu. Unapokuwa unataka kutapeli basi gunduwa kuna kudaiwa, ndiyo mfano wa hao na Tigo zao kama vipi wawape TiGo wamalizane ila kama hawawezi basi billion 2.1zilipwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hyo ndogo, Lets do maths kdgo
1 song = tsh30 per day= tsh.900 per month+month fee tsh.400- tsh 1300 per month
Hapo ni 1 subscriber, kwa mwaka tsh. 1300x 12=tsh. 15,600 per year.
Kwa hyo mtu 1 akitumia ringtone ya FA na Ay kwa mwaka analipia Tsh. 15,600/=.
Now tu assume watu 200,000 wanatumia hyo ringtone kwa mwaka,
so itakuwa ni Tsh 3,120,000,000(billion 3.12) kwa mwaka.
Tuendelee hiyo ringtone imetumiwa kwa miaka 2,
so ukizidisha kwa 2 inakuwa Tsh. 6,240,000,000 (bilion 6.24).
Halafu hyo ni minimum, again by assumption kama ringtone imetumiwa na watu zaidi ya hyo figure hapo juu (laki 2). So ina maana wazee wa Jazwa Ujazwe wamepiga pesa mingii sana.
Tusichukulie poa hizi mambo wasanii wetu wa bongo wanaibiwa sana.
 
Lazima tigo wata kara rufaa. Ukumbuke hawajamaa walishinda mwanzo tigo wakakata rufaa sasa inaenda kwenye mahakama ya rufani.
 
Duh...! Kuna watu wana wivu sijawahi ona

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
acha roho mbaya ww Tigo walipiga pesa sana kipind cha nyuma kama sio wasanii kustuka wangeendelea kuliwa tu acha walipe maana hata ukiweka salio tu unakuta limeisha bila sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani, naomba kuuliza.

Wanapataje hela sasa through nyimbo za wasanii.?!
 
eti hawana thamani kuliko Diamond by that time TIGO wanatumia wimbo wao ulikua ni hit song and katika music industry walikua the baddest...so tuna calculate compensation from the very beginning TIGO walianza kuutumia...na kama Diamond ni bora kuliko AY na FA since then kwanini wasingetumia wimbo wa Dee basi..pathetic..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…