Mwana FA & AY acheni utapeli, hamna miziki yenye thamani ya Bilioni 2.1, Tigo gomeni

Yaani wewe unaona sawa kazi ya mtu kutumika bila kufuata utaratibu!!! Jitathmini kwa kina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha roho mbaya na wivu, waache vijana wenzio wafanikiwe kwa kula matunda ya jasho la kazi yao, we inakuuma nini?? Ndo maana hatufanikiwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umasikini mbaya sana naulaani mpaka kesho

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Acha walipwe tu hamna namna....wewe kama imekuuma kunywa maji utapona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila Idriss kichwani mafuta ya taa sio bure,


 
Mtoa.mada angalia mafaini yanayopigwa haya makampuni ya Simu na tcra kwa kosa la kuruhusu laini ambazo hazijasajiliwa kutumika, ndio utajua haya makampuni yanapiga hela, walipe tu hizo hela kama mahakama ilivyoamua
 
Toa zako uwape kampuni za simu bure, mbona wao wameingiza zaidi ya hizo, haki yao acha wapate. Kinakuuma nini wakilipwa wakati ni haki yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisikia uchawi ndiyo huu. Adhabu wapewe Tigo, kuumia uumie wewe msoma namba....

Pole sana, kafungue kesi ya kupinga ili uchawi wako udhihirike hadharani na siyo nyuma ya key board.
Hongereni sana Ay na FA, achaneni na huyu muumia roho kwa pesa iso yake.
 
Katika kesi kama hizi kinachoangaliwa sio thamani ya kazi ya mdai.
Inaangaliwa thamani ya mdaiwa na amefaidika vipi kwa kupiga nyimbo za watu bila ya ruhusa,na kwa kupigwa huko mdai ameathirika vipi.
Utaona kwamba kazi ya milioni mbili kama unavyotaka wewe,imewaingizia tigo bilioni 5 kwa mwezi,hapo ni lazima usiowapenda wapate utajiri
 
Ungekuwa unajua sheria ya hati miliki inavyosema hata usinge ongelea hili jambo
Mjini hapa pambana na hari yako
 
Senge sanaa ww kwann unajikandia kwa wcb.unaona wasabi wengne awana thaman cyo na mdaa mwingine watanzania tujielewe atujui kuwa wimbo ukiwekwa kama mwito wa cm kwa siku msanii analipwa kias gan na mimi naona ni halali kwa mwana FA na AY kulipwa hvyo tena mimi naona ni kidogo snaa tusipende kulalamika vitu ambavyo atujui undan wake wala kilianzia mwaka gan mpaka apaa yalipotufikia......sengee snaaa tgo na aliye leta makala apa[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kuuona huu uzi na kuusoma nimeamini uchawi upo kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…