Ni ukweli usiopingika jina la MWANA FA ni kubwa sana kutokana na kupata mafanikio katika tasnia ya Muziki na kuwa miongoni mwa Magwiji wa Bongo Flavour.
Pamoja na umaarufu wake lakini ni Kijana ambaye kichwa chake kiko vema sana ndio maana hata ngazi kuu za Maamuzi zimemuona . Hakika anafaa sana.
Ushauri wangu kwake ni kwamba anapotekeleza majukumu ajitahidi kumkumbuka Boss wake(Waziri) hasa katika hadhira za watu. Bila shaka kuna mazingira inabidi kutambua dhamana ya Boss wako.
Huwa kuna majukumu ya kimaamuzi ya Naibu Waziri kama yeye na kuna mengine yanayomuhitaji Waziri kamili. Katika mambo yanayomuhusu Boss wake inabidi aepuke kutumia neno "NITAHAKIKISHA"
So far atakapokuwa waziri Kamili basi atajivinjari anavyotaka, japo na huko kuna mazingira yatakayomkumbusha kuwa yupo kwa niaba ya PM au Rais.
Wabobezi wa ethics, conduct and protocol mtakuwa mmenielewa.