Asante mkuu, wengi hawana communication skills. Hawajui wapi waongee kipi na katika mazingira gani. Hivi unaikumbuka communication skills ya JPM mbele ya hadhira?[emoji1787]
Ilikua poor sana sema ndio Boss inabidi watu wapige makofi tu, aliwaambia akina mama morogoro mnataka kupanuliwa wakaitika ndiooo na makofi juu, kwa kumsikiliza kiongozi hua najua kabisa hapa tunaongozwa na chizi