Upo sahihi kabisa, akiwa bungeni mara nyingi ni naibu waziri anayejibu kwa niaba, pia anapokuwa mwenyewe kuna mazingira yanayomuwezesha kuzungumza kama yeye kwaajili ya wizara. Lakini hoja yangu ni pale anapokuwa kwenye shughuli au hafla ambayo yupo pia waziri wake ni lazima UKUU WA BOSS WAKO uuonyeshe na sio kuubeba wewe . Ukifuatilia mwanzoni kabisa alipoteuliwa mara kadhaa walipokuwa kwenye shughuli halafu apewe nafasi ya kuongea alikuwa anajisahau na kuwa kama yeye sio naibu, nadhani hata waziri wake alilijua hilo ndio maana wanapokuwa kwenye hadhira moja waziri hakupenda kuzungumza sana.
So far kwasasa hivi Mwana FA amebadilika sana na anafanya vema kiitifaki