Mwana FA: Kuendesha timu Kabla ya kukamilisha taratibu za kisheria za uwekezaji chanzo cha Mgogoro Simba

Mangungu na huyo mjumbe hawana tofauti, katiba ya Simba haimpi Mangungu nguvu yoyote..
kwenye bodi sio kwenye Simba taasisi au Simba sport club company acha kuchanganya mambo, Mangungu ndio boss wa Simba , mlinzi wa mali za Simba, yeye ndio kiongozi mkuu kama huelewi kajifunze tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…