Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Serikali itoe tamko kwamba kinachoendelea kufanyika Simba siyo sahihi na iamuru utaratibu ufuatwe na ikiwezekana mchakato uanze upya chini ya katiba inayotambuliwa na serikali pamoja na TFF,haiwezekani serikali itoe maelekezo halafu muda unaenda bila maelekezo yake kufanyiwa kazi halafu yenyewe nayo iseme inasubiri tu! Hadi lini? Na tayari mvurugano ushaanza kutokea kwahiyo ni wakati sasa serikali ichukue jukumu lake kama baba mlezi wa kila kitu hapa nchini.Nafikiri mwana fa yupo sahihi. Serikali kupitia vyombo vyake tayari ishasema maeneo ambayo katiba ya mabadiliko inatakiwa kufanyiwa marekebisho sasa hapo ni jukumu la wanachama na mwekezaji kufanya marekebisho then waipeleke tena katiba ili isajiriwe. Unachotaka kusema wewe sasa serikali iingilie maamuzi ya taasisi.