alidhani atatembelea nyota ya kiba kumbe kiba mwenyewe anatembelea nyota ya Dimond.............OvaAlikushauri nani utoe wimbo wa pili harakaharaka ilhali 'MFALME' , ilikua bado maskioni mwa watu.
Ulikurupuka au kurupushwa.?
Huu wimbo ulofanya na KIBA si level zako,,
kiba kabana pua ,sijui anaimbia wapi,? Kaharibu, we mwenyewe ume..! Damn.
Nilijua unarudi , ila umejipoteza., kwa hii ngoma, hata jina siijui.
Disapointed Me.
.
alidhani atatembelea nyota ya kiba kumbe kiba mwenyewe anatembelea nyota ya Dimond.............Ova
Mavi ya kale hayanuki..hata kabla ya kiba walikuwepo kina Marijani rajabuhivi kabla diamond hajatoka kimuziki hujawahi kupenda nyimbo za ally kiba?
Rose Mhando katoa ngoma mpya,vp unaitasiminije yenyewe ndugu mchambuzi?
alidhani atatembelea nyota ya kiba kumbe kiba mwenyewe anatembelea nyota ya Dimond.............Ova
Mavi ya kale hayanuki..hata kabla ya kiba walikuwepo kina Marijani rajabu
HIvi wewe ndio Heaven on Desert?
Yaani mimi ni kama wewe. Mwana FA huwa simfagilii hata kidogo, lakini huu uzi ndio siufagilii zaidi na zaidi.
Ova
Morning guys,mimi ni shabiki haswaa wa Mwana FA kama ulianza kupenda bongo fleva juzi ndio utamdisi mwana FA,hamna mwandishi wa nyimbo anayeumiza kichwa kama huyu jamaa that y we calld him Mwanafalsafa,Mfalme ndio ngoma inayodhihirisha hili baada ya kuandikwa nyongi huko nyuma,nakubaliana na mtoa mada kwa hili,kuitoa hii ngoma na kiba ilikuwa mapema mno,mfalme bado ilikuwa inafanya pouwa,huu wimbo aliotoa na kiba upo pouwa ila hiki haukuwa kipindi chake angesubiri mfalme ichuje,point Noted nitamshauri kama nilivyomshauri kwenye bifu na Jide,tukaomba msamaha na soon Ngoma kali na Jide mtaiskia January hivi au Feb ngoma itatoka.
siijawahi kumpenda FA na wala sioni dalili ya kumpenda, hivyo atoe ngoma kali au pole does not cross my mind.
siijawahi kumpenda FA na wala sioni dalili ya kumpenda, hivyo atoe ngoma kali au pole does not cross my mind.
Mwanafa alikuwa zamani kuanzia 2005 na miaka kabla ya huo....ila tokea 2006 amekua akibahatisha bahatisha tuu, anasafiria nyota ya A.Y
Kuna ukweli ulichokiongea,Mwana FA kinachomwangusha siku hizi ni production mbovu,Kama zamani ndio track ambayo production ilikuwa nzuri but Mfalme na Kiboko yangu wamechemsha afadhali Mfalme GNako aliimba vizuri sana kwenye chorus
hivi yalaiti,hawajui zilitoka lini vile?
hata mfalme nayo imebahatishwa?
yan hizo ndo umeona nzuri? Mwana FA umeanza kumsikiliza lini? Naomba tuanzie apo kwanza
Mwanafa alikuwa zamani kuanzia 2005 na miaka kabla ya huo....ila tokea 2006 amekua akibahatisha bahatisha tuu, anasafiria nyota ya A.Y
Kwenye mwanafalsafa,tuliza boli,aminia na nyinginezo..
No matter what,huwezi kusema mfalme,hawajui na yalaiti ni ngoma mbovu
A.Y ana nyota gani?