Morning guys,mimi ni shabiki haswaa wa Mwana FA kama ulianza kupenda bongo fleva juzi ndio utamdisi mwana FA,hamna mwandishi wa nyimbo anayeumiza kichwa kama huyu jamaa that y we calld him Mwanafalsafa,Mfalme ndio ngoma inayodhihirisha hili baada ya kuandikwa nyongi huko nyuma,nakubaliana na mtoa mada kwa hili,kuitoa hii ngoma na kiba ilikuwa mapema mno,mfalme bado ilikuwa inafanya pouwa,huu wimbo aliotoa na kiba upo pouwa ila hiki haukuwa kipindi chake angesubiri mfalme ichuje,point Noted nitamshauri kama nilivyomshauri kwenye bifu na Jide,tukaomba msamaha na soon Ngoma kali na Jide mtaiskia January hivi au Feb ngoma itatoka.