Mwana FA, Umepiga hatua 4 mbele umerudi 8 nyuma, Disapointing

Mwana FA, Umepiga hatua 4 mbele umerudi 8 nyuma, Disapointing

Alikushauri nani utoe wimbo wa pili harakaharaka ilhali 'MFALME' , ilikua bado maskioni mwa watu.

Ulikurupuka au kurupushwa.?

Huu wimbo ulofanya na KIBA si level zako,,
kiba kabana pua ,sijui anaimbia wapi,? Kaharibu, we mwenyewe ume..! Damn.

Nilijua unarudi , ila umejipoteza., kwa hii ngoma, hata jina siijui.

Disapointed Me.

.
alidhani atatembelea nyota ya kiba kumbe kiba mwenyewe anatembelea nyota ya Dimond.............Ova
 
Morning guys,mimi ni shabiki haswaa wa Mwana FA kama ulianza kupenda bongo fleva juzi ndio utamdisi mwana FA,hamna mwandishi wa nyimbo anayeumiza kichwa kama huyu jamaa that y we calld him Mwanafalsafa,Mfalme ndio ngoma inayodhihirisha hili baada ya kuandikwa nyongi huko nyuma,nakubaliana na mtoa mada kwa hili,kuitoa hii ngoma na kiba ilikuwa mapema mno,mfalme bado ilikuwa inafanya pouwa,huu wimbo aliotoa na kiba upo pouwa ila hiki haukuwa kipindi chake angesubiri mfalme ichuje,point Noted nitamshauri kama nilivyomshauri kwenye bifu na Jide,tukaomba msamaha na soon Ngoma kali na Jide mtaiskia January hivi au Feb ngoma itatoka.

asante
 
siijawahi kumpenda FA na wala sioni dalili ya kumpenda, hivyo atoe ngoma kali au pole does not cross my mind.
 
Mwanafa alikuwa zamani kuanzia 2005 na miaka kabla ya huo....ila tokea 2006 amekua akibahatisha bahatisha tuu, anasafiria nyota ya A.Y
 
Kuna ukweli ulichokiongea,Mwana FA kinachomwangusha siku hizi ni production mbovu,Kama zamani ndio track ambayo production ilikuwa nzuri but Mfalme na Kiboko yangu wamechemsha afadhali Mfalme GNako aliimba vizuri sana kwenye chorus

huwa napenda uwasilishaji wa FA japo sio shabiki wake.na kwenye mfalme nilikubali sana theme ya wimbo na chorus za hatare toka kwa Gnako...ila hii nyimbo mpya jamaa kachemsha!!ki koras cha hovyo hovyo tu,flow nayo ikafuatia ubovu wa chorus basi shida tu!afu wimbo bado unauza unatoa mwingine within three months...hii ni suicide ya kazi zake mwenyewe.
ni msanii mkongwe na makosa aliofanya ni ya watoto wadogo so inakera zaidi!
 
yan hizo ndo umeona nzuri? Mwana FA umeanza kumsikiliza lini? Naomba tuanzie apo kwanza

Kwenye mwanafalsafa,tuliza boli,aminia na nyinginezo..

No matter what,huwezi kusema mfalme,hawajui na yalaiti ni ngoma mbovu
 
Kwenye mwanafalsafa,tuliza boli,aminia na nyinginezo..

No matter what,huwezi kusema mfalme,hawajui na yalaiti ni ngoma mbovu

Sio ngoma mbovu ukimlinganisha na wasanii wa hip hop wasiojua lakini ni mbovu ukilinganisha na uwezo wake wa awali na wasanii wa hip hop wanaojua
 
Back
Top Bottom