Hiyo ratiba sinaga, nikipiga msosi saa saba mchana na saa moja jioni siku imeishaWali maharage bukubuku, kifungua kinywa kikowapi hapo?
Supu gani ya 500? Ya utumbo wa kuku niniAsubuhi supu 500 + chapati 400 = 900
Mchana ugali 1000 + maji kandoro 200 = 1200
Jioni ugali 1000 + miguu ya kuku 500= 1500
Viroba 1000 + sigara 500
Jumla 5100.
Mkuu samahani,Chakula tu kwanza....Kwa siku natumia 48,000/=
1.Wali au Ugali (2500 au 1500)
kg per day
2.Nyama au Samaki (7000 au 10000)
3.Mkaa au mafuta au gesi (1500 au 1200 au 1700)
4.Maji (kupika kuoga kufua)=1500
6.Maji ya kunywa =1300
7.Umeme 4units per day=1500
8.Hg mshahara per day 1500
9.Mafuta ya gari per day 10000
10.Mafuta ya kupikia per day 600.
11.Chai maziwa 2000 na mkate 1000.
12.Gharama za nyumba 10000 per day.
13.Matunda 3000.
Total = ~ 48,000/=
Teh ntakutumia week ijayoKabisa, tunashushia na maji tu.
Alafu nimewamiss nguruka.
Mwenyewe nimeamua kukausha, weekend zilitaka kuniletea uchizi!Kwa kweli weekend hasa jumamosi nimeamua niiache kwasababu huwa inatumika bajeti kubwa kuliko ya wiki nzima! Sometimes unarudi home huamini umetumia kiasi fulani kirahisi tu.
You mean kuna kiasi cha wese hapo mkuu?Around elfu 30 per day! Sehemu kubwa ikiwa ni usafiri!! Yaani aaagh!
Fanya tu mchakato dota, maana umewataja hapo hadi mate yamejaa mdomoni.Teh ntakutumia week ijayo
Teh usijali, ntakutumia na tupilipili kabisa. Me nimewamiss uduvi kwa kweliFanya tu mchakato dota, maana umewataja hapo hadi mate yamejaa mdomoni.
Aiseeee wale wadudu sijawahi hata kuwaonja, nikiwaangalia tu nashiba.Teh usijali, ntakutumia na tupilipili kabisa. Me nimewamiss uduvi kwa kweli
Mie sio wa sport sport, nafukia tuAiseeee wale wadudu sijawahi hata kuwaonja, nikiwaangalia tu nashiba.
Yaani huyo mchepuko inabidi amchune jamaa pesa ya maana,awe anajazia mtaji...jamaa anachuana na mchwa kwenye msosi...tehMaana sio kwa kufukia huko!!
Hicho kifurushi si ni cha 24hrs?Na kuhusu vocha nawashukuru sana halotel maana ka vocha kangu ka jero mb 600 ambazo natumia ku peruzi peruzi jamii kujifunza vitu vipya na maoni ya raia pia ku google baadhi ya vitu bila kusahau kujibu jibu message za whatsapp....... Naweza tumia siku tatu mpk nne hzo mb 600
Mama ntilie mmoja aliulizwa mbona supu leo imeisha mapema?akajibu "tumbwa twenyewe tulikuwa tudogo"Supu gani ya 500? Ya utumbo wa kuku nini
Heaven Sent Na atoto mkitoka hapo Papuchi hazifaiKabisa, tunashushia na maji tu.
Alafu nimewamiss nguruka.