Mwana J.F..Unakula Tsh.ngapi kwa siku?

Mwana J.F..Unakula Tsh.ngapi kwa siku?

Kwa siku natumia 48,000/=
1.Wali au Ugali (2500 au 1500)
kg per day
2.Nyama au Samaki (7000 au 10000)
3.Mkaa au mafuta au gesi (1500 au 1200 au 1700)
4.Maji (kupika kuoga kufua)=1500
6.Maji ya kunywa =1300
7.Umeme 4units per day=1500
8.Hg mshahara per day 1500
9.Mafuta ya gari per day 10000
10.Mafuta ya kupikia per day 600.
11.Chai maziwa 2000 na mkate 1000.
12.Gharama za nyumba 10000 per day.
13.Matunda 3000.

Total = ~ 48,000/=
Mkuu samahani,Chakula tu kwanza....
 
Asubuhi Chapati Moja,bakuli la maharage, chai na yai la kienyeji moja kazi inaanza (2000), mchana Ugali wa dona na maharagwe 2500(my favoured dish) + maji ya 500=3000 jioni aina tofauti ya msosi usiozidi 5000 Jumla kwa siku chakula na maji wastani wa kama 10000 hivi anasa za chakula kwangu mara nyingi wikiendi
 
Kwa kweli weekend hasa jumamosi nimeamua niiache kwasababu huwa inatumika bajeti kubwa kuliko ya wiki nzima! Sometimes unarudi home huamini umetumia kiasi fulani kirahisi tu.
Mwenyewe nimeamua kukausha, weekend zilitaka kuniletea uchizi!

Yaani mi ikifika ijumaa jioni mda wa kutoka job akili inaniruka, nafikiria kujaza gari wese na kutafuta sehemu za kula bata, hiyo ni kuanzia ijumaa, j'mosi naj' pili!

Namshukuru mungu nina mwezi sasa sishoboki na weekend na savings naiona!
 
Na kuhusu vocha nawashukuru sana halotel maana ka vocha kangu ka jero mb 600 ambazo natumia ku peruzi peruzi jamii kujifunza vitu vipya na maoni ya raia pia ku google baadhi ya vitu bila kusahau kujibu jibu message za whatsapp....... Naweza tumia siku tatu mpk nne hzo mb 600
Hicho kifurushi si ni cha 24hrs?

We mbona unasema siku nne?
 
Kuna mahali nimehamia miezi minne sasa yaani najutia dunia!
15,000TZS na kuendela pa day
Detail:
Asubuhi: 3,500-4,000TZS. Maziwa au chai kikombe kidogo...500, andazi/chapati..500, supu...3000
Mchana: 5,000-6,000TZS.
Ugali....2500, wali.....3500-4000
Jioni: 5,000-6,000TZS.
Ugali....2500, wali.....3500-4000, pilau....4000. Ukila ugali kuku ni 3500
Nahapo sinywi bia. Soda sio lazima sana maji kama kawaida......tushauliane aiee. naona kwa mwezi inakula kwangu maana kipato chenyewe sio kikubwa kwa kuhimili hii gharama
 
Mchana na kula kama 2000 tu jioni najipikilisha nikijaza gesi 17000 inakaa hadi miezi 3 unga k 3 =2400 unatoboa wiki nzima
 
Back
Top Bottom