Mwana J.F..Unakula Tsh.ngapi kwa siku?

Hii chakula Huwezi kuipata Africa inapatikana Asia karibu India Shekhe wangu!!

Nitakaribia, ila Afrika inapatikana mtu akiamua kuvipika. au?

Hiyo indian restaurant ya kwa Obama naona nayo haijambo, kama nyingine nyingi duniani.
 
Mi hata sijui coz chakula nanunua na kuweka ndani. May be if I need different food apart from vilivyopo ndani.
Oeni mbane matumizi.
 
Mi najishangaa sana kwann siendelei kwa sababu kipato changu km tsh 60,000 per day na matumizi yangu pamoja na mkopo wa bank ni 35000 lkn sipigi hatua karibu miaka miwili mambo yamesimama sijui kwann wakuu.
Hujaoa mwanamke mwenye nidhamu ya pesa. Hujatuja, kila kitu kitajipa.
 
Hicho ndiyo kinanifilisi!
Nilihisi tuu...[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mkuu piga chini gari japo najua ni vigumuu ( mtaani unaona soo wasiseme umeishiwa hela ya wese)

Mi niliona hapa naelekea shimoni tuu, nadrive jumatatu na ijumaa tu ( hizi siku za j'nne, tano , na alhamisi nimemwachia bakresa )

Usiposhtuka litakufilisi kweli, miguu ya 180speed ni noma eti!
 
Mornin'
Supu au mtori safi 2500 + chapati x3 900=3500
Mchana..
Kitimoto 1.5kg 10500 + ugali dona 1000+ndizi 3 1500=13000
Jioni
Wali au ugali dona 2500 +samaki 4500=7000
Bado Bia x2 mchana

-Saa kumi nina bangi yangu nzito 3000 safi sivuti kushabu+ gomba 12000 giza kinembe maini +Hoe 15000 per night msafi sio vinuka mkojo(only weekend)

Sijaoa bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…