Mwana J.F..Unakula Tsh.ngapi kwa siku?

Mimi huwa sina muda wa kula asubuhi. Mchana chakula/maji 5000, jioni chakula/maji 5000. Kwa chakula 10,000/day inanitosha.
 
Supu 4000, mchana 10,000 jioni 20,000 = 34,000
 
Mimi huwa sina muda wa kula asubuhi. Mchana chakula/maji 5000, jioni chakula/maji 5000. Kwa chakula 10,000/day inanitosha.


Hakikisha unapata hata maziwa asubuhi mkuu..protein ni muhimu sana for the body esp. akili kama unafanya kazi za kufikiri! We normally tend to ignore this tuna-concentrate sana kwenye vitamins.
 
Kwa siku natumia 48,000/=
1.Wali au Ugali (2500 au 1500)
kg per day
2.Nyama au Samaki (7000 au 10000)
3.Mkaa au mafuta au gesi (1500 au 1200 au 1700)
4.Maji (kupika kuoga kufua)=1500
6.Maji ya kunywa =1300
7.Umeme 4units per day=1500
8.Hg mshahara per day 1500
9.Mafuta ya gari per day 10000
10.Mafuta ya kupikia per day 600.
11.Chai maziwa 2000 na mkate 1000.
12.Gharama za nyumba 10000 per day.
13.Matunda 3000.

Total = ~ 48,000/=
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Asubuhi supu 500 + chapati 400 = 900
Mchana ugali 1000 + maji kandoro 200 = 1200
Jioni ugali 1000 + miguu ya kuku 500= 1500
Viroba 1000 + sigara 500

Jumla 5100.


Nyie ni mwanaume wa Dar bila shaka!
 
Mi najishangaa sana kwann siendelei kwa sababu kipato changu km tsh 60,000 per day na matumizi yangu pamoja na mkopo wa bank ni 35000 lkn sipigi hatua karibu miaka miwili mambo yamesimama sijui kwann wakuu.
Ulishikiwa akili yako na maswala yako yakaamuliwa na wengine. Usifuate mkumbo wa kukopa basi utakuwa umeendelea. Mkopo hauwezi anzisha mradi. Bali mkopo huendeleza mradi ambao ulishajaribu na ukajua changamoto zake.
Pole sana.
 
Uharibifu huu
 

Mkuu swali ni, "unakula...?"

Itabidi nikutembelee jirani.


Ahaha karibu sana. Halafu uzuri wa kuwa wawili gharama ina balance vizuri sana!
 
alafu itakuwa unalenga ile mida yenyewe ya msosi salute kwako mkuu
 
M nnachojua natumia zaid ya nnacholipwa job kwa mwez. Inayozid sjui naipataga wap na kwa nmiujiza gan!!
 
Mkuu swali ni, "unakula...?"




Ahaha karibu sana. Halafu uzuri wa kuwa wawili gharama ina balance vizuri sana!
Roger Dat,Nilijua matumizi ya siku....Kwa siku kwa kula ni roughly 25,000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…