Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Aah! Yule wa Sijui ngapi kwa Sekunde 60? Aiise! Usijibane hivyo bhana! Jiongeze ufikie hata 3,050,575Mkuu rudia matukio ya mwaka jana,....kuna moja nadhani hulikumbuki vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah! Yule wa Sijui ngapi kwa Sekunde 60? Aiise! Usijibane hivyo bhana! Jiongeze ufikie hata 3,050,575Mkuu rudia matukio ya mwaka jana,....kuna moja nadhani hulikumbuki vizuri.
Nilimaanisha 25.10.2015.Aah! Yule wa Sijui ngapi kwa Sekunde 60? Aiise! Usijibane hivyo bhana! Jiongeze ufikie hata 3,050,575
Food lovers.
Kwa kweli weekend hasa jumamosi nimeamua niiache kwasababu huwa inatumika bajeti kubwa kuliko ya wiki nzima! Sometimes unarudi home huamini umetumia kiasi fulani kirahisi tu.Weekdays
Tsh. 10,000 - 15,000
Weeknd
Tsh. 30,000 -100,000
Somehow fair kulingana na quality ya sehemu.Aisee hiyo kitu niliikutaga kwenye malls za wenzetu mamtoni huko...sikujua na bongo kuna places kama hizo!
Vipi gharama zake wanatupiga au fair???
Lazima nipatafute hapo mahali aisee...
Yamenitokea jana. Leo nataka nitumie minimum yangu. Ila unaweza kupanga hivi . Ila ukienda kutembea inatokea vile......Kwa kweli weekend hasa jumamosi nimeamua niiache kwasababu huwa inatumika bajeti kubwa kuliko ya wiki nzima! Sometimes unarudi home huamini umetumia kiasi fulani kirahisi tu.
Kiroba kimoja kinatosha kwel au ndo kubana matumizi[emoji3]Asubuhi supu 500 + chapati 400 = 900
Mchana ugali 1000 + maji kandoro 200 = 1200
Jioni ugali 1000 + miguu ya kuku 500= 1500
Viroba 1000 + sigara 500
Jumla 5100.
HahahahaaaaaLabda kutonana na umri wako 23years (Umezaliwa:1993) ndio unaona hiyo pesa per day ni nyingi,nakumbuka kuna dingi glani miaka ya 95' alikuwa anatumia 50,000/= per day tulikuwa tunashangaa sana kama wewe unavyoshangaa sasa.
Jumapili huwa sitoki at least kupunguza unnecessary spending. Saturday kuna mambo ya mpira ukiunganisha na night life ukijicheki 100k kwishney!Yamenitokea jana. Leo nataka nitumie minimum yangu. Ila unaweza kupanga hivi . Ila ukienda kutembea inatokea vile......
kaandike (malengo yako) vtu unavyovitaka ufanye kwenye kioo unachojtizamia geto au andika kwenye mlango wa rum upande wa ndani.Mi najishangaa sana kwann siendelei kwa sababu kipato changu km tsh 60,000 per day na matumizi yangu pamoja na mkopo wa bank ni 35000 lkn sipigi hatua karibu miaka miwili mambo yamesimama sijui kwann wakuu.
Wewe una umri Gani?Labda kutonana na umri wako 23years (Umezaliwa:1993) ndio unaona hiyo pesa per day ni nyingi,nakumbuka kuna dingi glani miaka ya 95' alikuwa anatumia 50,000/= per day tulikuwa tunashangaa sana kama wewe unavyoshangaa sasa.
Kwa kweli weekend hasa jumamosi nimeamua niiache kwasababu huwa inatumika bajeti kubwa kuliko ya wiki nzima! Sometimes unarudi home huamini umetumia kiasi fulani kirahisi tu.