Mwana J.F..Unakula Tsh.ngapi kwa siku?

Mwana J.F..Unakula Tsh.ngapi kwa siku?

Asubuhi supu 500 + chapati 400 = 900
Mchana ugali 1000 + maji kandoro 200 = 1200
Jioni ugali 1000 + miguu ya kuku 500= 1500
Viroba 1000 + sigara 500

Jumla 5100.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na hiyo avatar sasa!
 
Hamna kitu kama hicho. Kfc 4pc meal +pepsi £3.99 mchana umepita. Jioni anapita kwa wapakistan ananunua chips+wings+pepsi £3.99. Less than £8 amekula mchana na jioni na anapiga box minimum £7/hr.


Hahaha usimsemee mkuu...huenda kaenda kubeba box la kiutu uzima pesa ndefu kwa nini ujibane.
 
Wabana matumizi... Wa kujiachia leo tukutane hapa.

Kutokujua unatumia kiasi gani kwa siku hata kwa chakula unachokula mwenyewe....
kwa siku ni wastani wa buku ten ila inategemee inaweza zidi au kupungua
 
Kipepeo kuna football? Nianze kuja. Kule south beach 10k kiingilio halafu kuna vitu vya plastic vya pepsi kama huku kwetu kwenye vibanda umiza.


Yes Kipepeo huwa wanaonesha game shida ni kama kuna game mbili kubwa huwa siendi hapo maana hakuna hiyo option!!
 
Mkuu unless hii picha umedownload tu naomba nikuulize swali...

Kwenye hizo sauces hapo chini kulia, hiyo ya kijani nimeiona kwenye mexican joints nyingi, huwa ni nini!??


Huo unaitwa MRENDA mkuu.
 
Kwa siku natumia 48,000/=
1.Wali au Ugali (2500 au 1500)
kg per day
2.Nyama au Samaki (7000 au 10000)
3.Mkaa au mafuta au gesi (1500 au 1200 au 1700)
4.Maji (kupika kuoga kufua)=1500
6.Maji ya kunywa =1300
7.Umeme 4units per day=1500
8.Hg mshahara per day 1500
9.Mafuta ya gari per day 10000
10.Mafuta ya kupikia per day 600.
11.Chai maziwa 2000 na mkate 1000.
12.Gharama za nyumba 10000 per day.
13.Matunda 3000.

Total = ~ 48,000/=
Katika watu waliochanganua vizuri, wewe ni m1wapo. Kuna mambo mawaili naomba uniwekee sawa kutokana na mtoa mada alivyouliza matumizi ya bajeti ya mtu mmoja.
Hizo kilo kilo nadhani ni natumizi ya familia. Hapo ulitakiwa kugawa kwa watumiaji, au unazilamba mwenyewe hizo kilokilo mkuu?
Kingine gharama ya nyumba kwa siku inapatikanaje, ama unaishi "gesti" mkuu?
Ninaomba ufafanuzi tafadhali.
 
Matumiz au kula inategemeana na kipato chako
 
Hahahahaaaaa
Yan wewe mda wote ulioishi hapa duniani unakula 45Elf Tumbo lako lina ukubwa gan...!??
Ni kwa family nzima sio mimi, mimi kama mimi:-
1.Asubuhi :- Supu chapati mbili 3100.
2.Mchana:- Pilau Samaki 3500
3.Usiku:- Usiku Samaki na saladi 3000.
4.Maji ya kunywa:-1000.

Grand Total:-10,600/=
 
Hahaha usimsemee mkuu...huenda kaenda kubeba box la kiutu uzima pesa ndefu kwa nini ujibane.
No £55 is a lot of money in UK. Akienda supermarket Tesco/Asda anajaza trolley moja la groceries. Pizza hut,Nandos hamalizi hio hela.
 
No £55 is a lot of money in UK. Akienda supermarket Tesco/Asda anajaza trolley moja la groceries. Pizza hut,Nandos hamalizi hio hela.


Tumpe nafasi ya kutetea hoja yake...au alimaanisha £5.5

Cc: @tang'anaaaaaaaaa
 
Mi najishangaa sana kwann siendelei kwa sababu kipato changu km tsh 60,000 per day na matumizi yangu pamoja na mkopo wa bank ni 35000 lkn sipigi hatua karibu miaka miwili mambo yamesimama sijui kwann wakuu.
Tupo wengi tuu wala usishtuke Sana.
 
Katika watu waliochanganua vizuri, wewe ni m1wapo. Kuna mambo mawaili naomba uniwekee sawa kutokana na mtoa mada alivyouliza matumizi ya bajeti ya mtu mmoja.
Hizo kilo kilo nadhani ni natumizi ya familia. Hapo ulitakiwa kugawa kwa watumiaji, au unazilamba mwenyewe hizo kilokilo mkuu?
Kingine gharama ya nyumba kwa siku inapatikanaje, ama unaishi "gesti" mkuu?
Ninaomba ufafanuzi tafadhali.
1. Ni kwa family nzima sio mimi, mimi kama mimi:-
i.Asubuhi :- Supu chapati mbili 3100.
ii.Mchana:- Pilau Samaki 3500
iii.Usiku:- Usiku Samaki na saladi 3000.
iv.Maji ya kunywa:-1000.

Grand Total:-10,600/=

2.Gharama za nyumba nalipa kodi laki 3 kwa mwezi inamaanisha nalipa elfu 10 per day.
 
Unakula aloo masala na ghobi masala pamoja na naan miksa mint chatney asubuhi?[emoji1] [emoji1]
Ndiyo kifungua kinywa mchana bahati nzuri ijumaa naenda kuwinda kwanzia ijumaa hadi juma tatu tunakula nyama choma za swala hela ya vinywaji tu ndiyo inatoka unakula nyama choma na Mizinga ya nyagi paba
 
Tumpe nafasi ya kutetea hoja yake...au alimaanisha £5.5

Cc: @tang'anaaaaaaaaa
Huwezi kutumia £55 kwa kula siku moja. Hio ni £385 per week. Maybe anakula kule Nobu na akina Beckham.
 
kaandike (malengo yako) vtu unavyovitaka ufanye kwenye kioo unachojtizamia geto au andika kwenye mlango wa rum upande wa ndani.


Hii niliikuta kwa mwalimu mmoja alikua rafiki yangu. yeye akiandika mlango wa chumbani kumuuliza, akamiambia usilolijua ni usiku wa giza.
Nikamtema kumbe inamaana sana.
 
Back
Top Bottom