Mwana J.F..Unakula Tsh.ngapi kwa siku?

Chai = 1,000
Lunch = 3,000
Maji = 1,500
Jumla 5,500/=
 
Huwezi kutumia £55 kwa kula siku moja. Hio ni £385 per week. Maybe anakula kule Nobu na akina Beckham.

Kumbe inawezekanaee..

You just never know mkuu!

Unajua unamuona mtu huku JF unamdharau kisa alimnyoa 'demu' wake nywele za kichwani kukwepa gharama ila anaweza kula £55 kwa siku hahahahahahahaha ila tang'ana kwa hili nahisi unatupiga kamba mkuu!!!
 
Unazungumizie kula kwa maana ya chakula tuu au pambona na matumizi mengine?
 
Unajua hata hapa bongo nenda serena kale lunch, dinner kale hyatt. Ki kawaida utastruggle kumaliza hio 154,000.
 
Ndiyo kifungua kinywa mchana bahati nzuri ijumaa naenda kuwinda kwanzia ijumaa hadi juma tatu tunakula nyama choma za swala hela ya vinywaji tu ndiyo inatoka unakula nyama choma na Mizinga ya nyagi paba
Jibapa[emoji23]
 
Unajua hata hapa bongo nenda serena kale lunch, dinner kale hyatt. Ki kawaida utastruggle kumaliza hio 154,000.

Lunch Serena last time nilienda pale ilikuwa 33k (ingawa kulikuwa na more expensive options) ...labda ili kufikisha hiyo unaungansha na vinywaji. Jack Daniels ya Serena sio bei sawa na Samaki samaki mkuu!

Tang'ana ni matawi ya juu...
 
Kwanini usiweke housegelo apike na kufua yua nguo?
 
Mkuu tangu niko darasa la sita sijawahi kumjua house girl maishani mwangu so huku kulalamika nimeshazoea ila siezi kuweka housegirl wa kunifanyia kazi kwangu nikishindwa kabisa nitanunua mashine.

Mimi hata girl friend wangu (natamani angekuwa humu awathibitishie) hanifulii nguo na akipika ni kwa sababu tu yupo ila sio kwa sababu i expect her to cook!!!

Kwa ufupi tuseme ni mazoea sio kwamba kuna ubaya wowote!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…