kinjumbi one
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 1,695
- 2,144
HahahahaPunguza mademu
Mmh weekend ntakuwa nakuja kwako tujifungie, Ila mgeni mimi siji empty handed, ntakuwa nabeba na nguruka kabisa teh[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Thi ndio maana nakupenda dota, hapo dona letu na kapili pili pembeni hadi tuvimbiwe.Mmh weekend ntakuwa nakuja kwako tujifungie, Ila mgeni mimi siji empty handed, ntakuwa nabeba na nguruka kabisa teh
Niliwahi kukaa na kaka yangu mwezi mmoja baada ya kumaliza chuo ikawa lunch na diner anakula nyumbani, alishangaa jinsi gharama zilivyopungua kwa huo mwezi, so inawezekana.Hahah tui-round off iwe 30,000/- kwa siku. It is reasonable kabisa...
Hahaha ukiwa na mtu ndani unakula nyumbani mara nyingi.
Nakumbuka hapa juzi nilikaa na mtoto wa aunt yangu anasoma chuo. Nilikuwa nampa 250,000/- kwa mwezi yani siwazi kabisa nitakula nini.
Mwisho wa mwezi tunaenda zetu ferry tunanunua mchele, unga, sukari na mafuta...mboga anapanga ratiba mwenyewe plus kuhakikisha anapata ya kwake ya lunch akiwa chuo na iliwezekana kabisa...ndipo nikaamini hata nikioa sitapata shida sana.
hiyo ni past tense ticha lol!!!
Situmii hata mia. Nakaa kwa mama. (Labda occasionally kununua dume condoms na kwenda hair salon ).
Naomba kuijua profession yako mkuuMkuu tangu niko darasa la sita sijawahi kumjua house girl maishani mwangu so huku kulalamika nimeshazoea ila siezi kuweka housegirl wa kunifanyia kazi kwangu nikishindwa kabisa nitanunua mashine.
Mimi hata girl friend wangu (natamani angekuwa humu awathibitishie) hanifulii nguo na akipika ni kwa sababu tu yupo ila sio kwa sababu i expect her to cook!!!
Kwa ufupi tuseme ni mazoea sio kwamba kuna ubaya wowote!!!
Kwa hiyo ukirudi home mnapima uzito wa chakula?
au umemaanisha kwa mfano ni wali, basi mnapima mchele kg 2???? Na huo ni wako mwenyewe au ndo familia nzima? na mko wangapi? sorry kwa maswali mengi...
Dah.....una shule ya bweni?[emoji13] [emoji13]10,000
Nimependa mchanganuo wako maana una reality ndani yakeKwa siku natumia 48,000/=
1.Wali au Ugali (2500 au 1500)
kg per day
2.Nyama au Samaki (7000 au 10000)
3.Mkaa au mafuta au gesi (1500 au 1200 au 1700)
4.Maji (kupika kuoga kufua)=1500
6.Maji ya kunywa =1300
7.Umeme 4units per day=1500
8.Hg mshahara per day 1500
9.Mafuta ya gari per day 10000
10.Mafuta ya kupikia per day 600.
11.Chai maziwa 2000 na mkate 1000.
12.Gharama za nyumba 10000 per day.
13.Matunda 3000.
Total = ~ 48,000/=
Hii chakula Huwezi kuipata Africa inapatikana Asia karibu India Shekhe wangu!!
Mi najua natumia not more than 400k per week! Labda itokee dharura kweli kweli!
Replace month with weekMi najua natumia not more than 400k per month! Labda itokee dharura kweli kweli!