TANZIA Mwana JamiiForums Charity Kasubi afariki dunia

Mkuu pambana na khali yako,unataka hao watu wafanye nini? Hata ulaya watu wanakufa acha kulaumu watu,fuata kanuni zinazotolewa na serikali yako,acha kulalama hakutakusaidia hata kidogo,kulaumu kutakusabanishia kujenga chuki matokeo yake kinga ya mwili wako itashuka na kuufanya mwili wako kuwa host wa madonjwa ya kubukiza na yasiyo ya kuambukiza
 
subiri zamu. yako sii hutaki nyungu
 

Mkuu napambana kweri kweri. Mimi na wapendwa wangu. Sasa hivi nilipofika nimetambua kuwa ni kila mtu na lwake hakuna cha serikali wala nini:




Kwa vile tumeachana njia panda na asitokee kikaragosi kufuata kodi.

Si walisema kodi watakuja nyumba kwa nyumba? Watanikuta.

Kumbe ndiyo sababu Mwamwindi alichoka.

Tutege masikio. Tutaelewana tu.

Ulaya na kote kwingine watu hawafi kizembe hivi. Huko watu hawafi huku serikali ikiwa busy kuhimiza kusali na miti shamba ya akina "Nhomba Imajamasala" wataalamu wa mazindiko na kusafisha nyota.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Pole Kwa familia kuondokewa na kijana wao!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…