Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
ukisoma humu wanasema ajali ya gari, alikuwa mlokole huyu katoka kwenye maombi Arusha, njiani kapata ajali gari binafsi, na TBC uki google utaona wakiongelea HAO WANAMAOMBI AMBAO ALIKUWA AMETOKA ARUSHA KUSALI NA KUFUNGA hato mume wa marehemu ama kama wamemfariji na kukutana naye personal, hii dunia ina mitihani sana.RIP...bado mdogo...sababu nini?