Mnyatiaji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 3,728
- 4,817
Si tumekubaliana tutoe pole last seen imetoka wapi🥴Rip
Joined 2011
Last seen 2013
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si tumekubaliana tutoe pole last seen imetoka wapi🥴Rip
Joined 2011
Last seen 2013
sijui unaisemea ulaya ipi mkuu ambako eti hawafi ovyo[emoji848][emoji848],basi Hapa tz ni salama zaidi . hujui tu huko Hali ni mbaya mbaya zaidi kuliko.Mkuu napambana kweri kweri. Mimi na wapendwa wangu. Sasa hivi nilipofika nimetambua kuwa ni kila mtu na lwake hakuna cha serikali wala nini:
View attachment 1703775
Kwa vile tumeachana njia panda na asitokee kikaragosi kufuata kodi.
Si walisema kodi watakuja nyumba kwa nyumba? Watanikuta.
Kumbe ndiyo sababu Mwamwindi alichoka.
Tutege masikio. Tutaelewana tu.
Ulaya na kote kwingine watu hawafi kizembe hivi. Huko watu hawafi huku serikali ikiwa busy kuhimiza kusali na miti shamba ya akina "Nhomba Imajamasala" wataalamu wa mazindiko na kusafisha nyota.
Au nasema uongo ndugu zangu?
subiri zamu. yako sii hutaki nyungu
Wapi mleta uzi alipoandika amefariki leo? au umeamua kutia chumviMbota tbc wameonyesha caption ya picha yaka tangu juzi, una uhakika amefariki leo?
Sure, she was still having alot for her nation. But God lovd her more.Pole kwa familia ya marehemu na marafiki pia. Apumzike mahali anapostahili. Gone too soon
sijui unaisemea ulaya ipi mkuu ambako eti hawafi ovyo[emoji848][emoji848],basi Hapa tz ni salama zaidi . hujui tu huko Hali ni mbaya mbaya zaidi kuliko.
Ndo marehemu hasemwi vibaya?Masikini,dada mzuri sana
Changamoto nini au kitu gani?
So sorry guys!
Ulaya hali inaimprove sana sasa.sijui unaisemea ulaya ipi mkuu ambako eti hawafi ovyo[emoji848][emoji848],basi Hapa tz ni salama zaidi . hujui tu huko Hali ni mbaya mbaya zaidi kuliko.
Was he a verified user? RIP
swali gani hili mkuu?RIP...bado mdogo...sababu nini?
Oya braza, iyo kinga inakujaje tena hapo?Kwa Jf alifariki zamani sana. Toka Dec 16 2013. Ila labda alikuwa na ID nyingine. Pia mleta mada tuambie una uhusiano naye gani huyu member? Je na wewe umepima au ulikuwa unatumia kinga?
Ni bwana yule ndiye hataki.Na bado hamtaki kiingereza mashuleni
Lawama zote kwa John MtembeI.Kuna mijitu ina roho mbaya sana! Kwa hakika ni zaidi sana ya ibilisi.
Vifo hivi vingeweza kuepukika. Yenyewe imeuchuna tu. Kwa sababu haiwahusu.
Iko busy kutengeneza mabarabara ya kusafirishia wafu kwenda kuzikwa.
Kwa hakika ni heri ya Abood anayetoa mabasi ya kubebea waombolezaji!