TANZIA Mwana JamiiForums Charity Kasubi afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums Charity Kasubi afariki dunia

Kuna mijitu ina roho mbaya sana! Kwa hakika ni zaidi sana ya ibilisi.

Vifo hivi vingeweza kuepukika. Yenyewe imeuchuna tu. Kwa sababu haiwahusu.

Iko busy kutengeneza mabarabara ya kusafirishia wafu kwenda kuzikwa.

Kwa hakika ni heri ya Abood anayetoa mabasi ya kubebea waombolezaji!
Kafariki kutokana na ajali ya barabarani.
 
..pole kwa familia,ndugu, jamaa, na marafiki.

..MUNGU amlaze mahala pema peponi.
 
Mzee si ungeandika tu kiswahili, mambo ya vingereza yaache maana wanasheria wenyewe wamekikimbia kingereza uje kua wewe unlearned buraza
Grammatically, what is wrong with that sentence? Elimu haina mwisho
 
Mungu amweke mahali pema.Pole kwa ndugu kumpoteza mpendwa wao.
 
Mbota tbc wameonyesha caption ya picha yaka tangu juzi, una uhakika amefariki leo?
Ndio maana wengine tulikuwa hatujui,TBC na wengi ni mafuta na maji.hongera kwa kuichagua TBC inabidi uhamie na TTCL
 
Mkuu pambana na khali yako,unataka hao watu wafanye nini? Hata ulaya watu wanakufa acha kulaumu watu,fuata kanuni zinazotolewa na serikali yako,acha kulalama hakutakusaidia hata kidogo,kulaumu kutakusabanishia kujenga chuki matokeo yake kinga ya mwili wako itashuka na kuufanya mwili wako kuwa host wa madonjwa ya kubukiza na yasiyo ya kuambukiza
Charity amekufa kwa ajali ya gari. [emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom