MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kumbe alikuwa Verified Member kabisa hapa JF? R.I.P Kwake.Mwana JamiiForums mwenzetu Charity Kasubi ametwaliwa.
Taarifa zaidi zinafuata. Marehemu pia alikuwa ni mfanyakazi wa TBC ambako alikuwa akitumika kwenye nafasi ya Uhandisi wa Mawasiliano. Buriani!