TANZIA Mwana JamiiForums Charity Kasubi afariki dunia

RIP...bado mdogo...sababu nini?
ukisoma humu wanasema ajali ya gari, alikuwa mlokole huyu katoka kwenye maombi Arusha, njiani kapata ajali gari binafsi, na TBC uki google utaona wakiongelea HAO WANAMAOMBI AMBAO ALIKUWA AMETOKA ARUSHA KUSALI NA KUFUNGA hato mume wa marehemu ama kama wamemfariji na kukutana naye personal, hii dunia ina mitihani sana.
 
Anataka serkali inunue mitungi ya gesi kwa kila mmoja, anataka chanjo, anataka kila siku watu wapimwe wanapotaka kulala au kuamka,
Mwisho takwimu zitumwe WHO
 
Pole sana kwa husband wake, watoto, mama yake. Jamani kufiwa kunauma uwiiii nakumbuka kifo cha mzee wangu.
Pole sana kwa kifo cha mzee wako na pole kwa mume wa Charity naskia pia aliacha kitoto kichanga.
Tatizo hizi familia za kibongo huwa na tamaa za mali, mume ataaachwa hapo ndugu watapora, wataiba na kumnyanyasa mume as if yeye ndiye alimuua. nimeona meni sana haya mambo mahakamani.
 
Asante sana, lakini kwa mume kuporwa mali siyo sana kama mume akifa ndiyo kimbembe
 
RIP dada, vipi ni changamoto ile ile ?
Huyu nimeona kwenye youtube alipata ajali ya gari na akalazwa for a week akafariki, nimeona kaacha kitoto kichanga na mume, Mungu atunze familia yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…