TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Kweli mkuu unajua humu mtu anaweza toa uzi alafu tukawekea mzaha kumbe mtu yupo silias

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Depression ni ugonjwa mbaya sana ambao nadhani wasomi hawajauchukulia serious. Kuna namna uongozi wa jf unaweza kuthibitisha matatizo ya watu wanaohitaji ili kuondoa sintofahamu na upigaji? If so, ni muhimu Hilo kufanyika.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
 


Sorry...futa comment hii nami nifute hakulalamika wangu tu!
 
Kuna siku nilikua napita eneo flani maeneo ya mbezi juu,hapa dar,tarehe hizo hizo,kunanyumba tuliona watu wamejaa nje na kunagari ya polisi

Baada ya kuuliza kuna tukiogani,tukaambiwa kuna kijana kajinyonga,alikua anakaa katika nyumba ile kwa kusaidiwa tu,na huyo mwenyenyumba.

Nikaambiwa kuwa kijana huyo alikua kabila la kihehe,na alikua anatatizo la kusikia...aliletwa kuishi pale akitokea mtwara,na alikuja kusaidiwa mambo ya kusoma chuo,na alikua bado mwanafunzi.

Kwa maelezo ya mtoa maada nimekonect dot nimehisi lile tukio linaweza kuwa ndo hili.
 
Nafikiri yupp busy maana hata nimempigia hajapokea na humu atakuwa hajaingia pia.
Kama ni kweli kuna haja ya kuwa na kitengo cha saikolojia humu ndani.
Najua mlokua mnawasiliana aliniambia pia..leo nimeshindwa kabisa kufanya kazi dah so amewasiliana na mm week moja mbele akajiua...i wish ningemjua huyo boss wake kwa hapa jf..dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo lenyewe mkuu bila shaka .. umezidi kunithibitishia zaidi mkuu

This life
 
Aiseeeeee!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Imeniuma sana hii habari, nakumbuka mara mwisho mimi kushiriki kwenye uzi wake nilimwambia aandike Business plan tumchangie apate mtaji ajiajiri aachane na habari ya kwenda kufuata cheti chake maana hata walioko mtaani bila kazi wanavyeti pia. Na wadau kibao wanamsihi afanye hivyo, Simjui huyu jamaa ila kwa Nyuzi alizo wahi kuweka humu ni dhahiri wazi kabisa kuwa alikuwa anapitia mazito sana.
Jamii forum ni moja ya mitandao ya kijamii ambayo member wa wao hufunguka ya moyoni ila pia inawatu wenye maneno ya kukejeli hata kama mtu anauhitaji wa msaada wa kijamii.
Pumzika kwa amani kamanda, sikuwahi kufikiria kama ningeumia kiasi hiki. Pumzika kwa amani Kamanda Mpauko [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 

Ajabu sana, mie alipofariki baba yangu ndani ya mwezi ule ule hata wiki ya tatu haikufika nikawambia wadogo zangu waitupe laini na ile simu waiuze ikiwezekana ili kuondoa trace za kumbu kumbu maana watu wasiokuwa na taarifa wanaweza endelea mpigia wakijua labda bado yupo hai. Ila kijana huyu ni mdogo sana kwa umri, alikuwa na ndoto zake lakini maneno ya kejeli na kuvunja moyo huenda yakawa ndio sababu kubwa ya kufikia kufanya maamuzi hayo.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Pole boss
Jifunze kupitia nyuzi majukwaa mbalimbali mara upatapo muda.
Hii itakusaidia kupata taarifa za Watu mbalimbali..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka xmas uliniambia unatamani kutoka...nikakutumia hela ..nikakuambia nataman siku moja tule chakula kizuri sehemu nzuri ukawa huamini! Rip mdogo wangu na mwanangu!
Pole sana ndugu. Natumaini mngeonana mngekwenda kula chakula kizuri sana kwenye hoteli moja ambayo haijulikani. Ila ndiyo hivyo tena hatunae tena mwenzetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…