TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Hapa ndio mzuka unapokata kbsaaa...

Half humu kuna watu wana left grp sisi hatujui tunadhani ni U bussy, kumbe Mchwa wanafanya yaoo....

Wote wapumzike kwa amani....

Huyu nae tuwe nae karibuu


Sijawah waza hizi mambo...
lkn sasa inatishaaaa.....
Mwezi uliyopita classmet wangu nae kajimaliza...

alinitumia tu msg usiku
'.......kwaheri rafk yangu,'.

Asubuh naona msg kupga hapatkani...
Nikajua kaenda mbele maana week tatu kabla safar yake ilikua imeiva........

Mchana Dada yake ananipgia simu....
'Wewe ni rafiki wa ......?' nikamwambia 'ndio'
Akaniambia 'hatunaye tena, kajipumzisha mwenyewe'

Nilipigwa ganzi na butwaa moja hatar nilijikuta simu ipo miguuni huku bd ipo hewani...
Kwa yale mawazo ile siku sikutaka hata kuvuka barabara kubwa kbsaaa.....

Sijui nn kilimpataa ghalfa(Sitaki kuamini km ni Majibu ya Vipimo vya HIV ili aende mbele)... nakat Alipata dili moja kali sana la kwenda mbelee...

Watu wanatembea na sumuuuu......
Tuwe makini na lugha zetu kwa yyt yule....
Haya masuala ya kujutia lugha, mioyo yetu migumu na matendo yetu kwao baada ya tukio NIKUJITAKIA...
Spread love to every creature on your way.....
it might pay you or save them some days...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu unajua humu mtu anaweza toa uzi alafu tukawekea mzaha kumbe mtu yupo silias

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Depression ni ugonjwa mbaya sana ambao nadhani wasomi hawajauchukulia serious. Kuna namna uongozi wa jf unaweza kuthibitisha matatizo ya watu wanaohitaji ili kuondoa sintofahamu na upigaji? If so, ni muhimu Hilo kufanyika.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
 
hii comment kwa upande wangu naona si nzuri ungebaki na siri ya marehem kama ilivyokuwa,,,,umecomment hivi unafikiri huyo mama atajitokeza?je akijitokeza watu watamchukuliaje?au wataka huyo mama ajitokeze nae alete madhaifu ya marehemu?

Sent using Jamii Forums mobile app


Sorry...futa comment hii nami nifute hakulalamika wangu tu!
 
TANZIA:

MWANA JF MIGUU YA KUKU/ MPAUKO HATUNAE DUNIANI

Kwa mujibu wa rafiki yake wa mitandaoni ni kuwa Mpauko / MIGUU YA KUKU alifariki tarehe 23 / 01/2020.

Chanzo cha kifo chake ni kujinyonga lakini hakuna taarifa ya sababu ya kujinyonga.

Rafiki yake anasema alipotezana nae mtandaoni toka january hiyo na alikuwa akituma txt za kawaida kwenye namba zake tatu hazifanikiwi kumfikia.

Akajaribu tena jana jumapili tarehe 23 asubuhi txt zikapokelewa na kujibiwa kwa ukali kidogo na simu kufungwa. Rafiki yake alituma txt zaidi zilizopokelewa jioni na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mdogo wake. Mdogo wake huyo ndiye alietoa taarifa ya kifo hicho.

Marehemu alizikwa kwao Iringa

Amewahi andika:

1) Daah! Haya maisha bwana, mi yanaelekea kunishinda! Hivi ni sumu gani inaua haraka bila mateso?

2) Maisha yamekuwa hayana jema kwangu nashangaa kwanini sifi

3) Kwa wenye huruma tu! Nahitaji ajira niweze kuishi

4) Mengine haya huumiza, Tusaidiane...

5) Mrejesho: Naomba msaada wa ada
Kuna siku nilikua napita eneo flani maeneo ya mbezi juu,hapa dar,tarehe hizo hizo,kunanyumba tuliona watu wamejaa nje na kunagari ya polisi

Baada ya kuuliza kuna tukiogani,tukaambiwa kuna kijana kajinyonga,alikua anakaa katika nyumba ile kwa kusaidiwa tu,na huyo mwenyenyumba.

Nikaambiwa kuwa kijana huyo alikua kabila la kihehe,na alikua anatatizo la kusikia...aliletwa kuishi pale akitokea mtwara,na alikuja kusaidiwa mambo ya kusoma chuo,na alikua bado mwanafunzi.

Kwa maelezo ya mtoa maada nimekonect dot nimehisi lile tukio linaweza kuwa ndo hili.
 
Nafikiri yupp busy maana hata nimempigia hajapokea na humu atakuwa hajaingia pia.
Kama ni kweli kuna haja ya kuwa na kitengo cha saikolojia humu ndani.
Najua mlokua mnawasiliana aliniambia pia..leo nimeshindwa kabisa kufanya kazi dah so amewasiliana na mm week moja mbele akajiua...i wish ningemjua huyo boss wake kwa hapa jf..dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku nilikua napita eneo flani maeneo ya mbezi juu,hapa dar,tarehe hizo hizo,kunanyumba tuliona watu wamejaa nje na kunagari ya polisi

Baada ya kuuliza kuna tukiogani,tukaambiwa kuna kijana kajinyonga,alikua anakaa katika nyumba ile kwa kusaidiwa tu,na huyo mwenyenyumba.

Nikaambiwa kuwa kijana huyo alikua kabila la kihehe,na alikua anatatizo la kusikia...aliletwa kuishi pale akitokea mtwara,na alikuja kusaidiwa mambo ya kusoma chuo,na alikua bado mwanafunzi.

Kwa maelezo ya mtoa maada nimekonect dot nimehisi lile tukio linaweza kuwa ndo hili.
Ndo lenyewe mkuu bila shaka .. umezidi kunithibitishia zaidi mkuu

This life
 
Aiseeeeee!!!!
Kuna siku nilikua napita eneo flani maeneo ya mbezi juu,hapa dar,tarehe hizo hizo,kunanyumba tuliona watu wamejaa nje na kunagari ya polisi

Baada ya kuuliza kuna tukiogani,tukaambiwa kuna kijana kajinyonga,alikua anakaa katika nyumba ile kwa kusaidiwa tu,na huyo mwenyenyumba.

Nikaambiwa kuwa kijana huyo alikua kabila la kihehe,na alikua anatatizo la kusikia...aliletwa kuishi pale akitokea mtwara,na alikuja kusaidiwa mambo ya kusoma chuo,na alikua bado mwanafunzi.

Kwa maelezo ya mtoa maada nimekonect dot nimehisi lile tukio linaweza kuwa ndo hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Imeniuma sana hii habari, nakumbuka mara mwisho mimi kushiriki kwenye uzi wake nilimwambia aandike Business plan tumchangie apate mtaji ajiajiri aachane na habari ya kwenda kufuata cheti chake maana hata walioko mtaani bila kazi wanavyeti pia. Na wadau kibao wanamsihi afanye hivyo, Simjui huyu jamaa ila kwa Nyuzi alizo wahi kuweka humu ni dhahiri wazi kabisa kuwa alikuwa anapitia mazito sana.
Jamii forum ni moja ya mitandao ya kijamii ambayo member wa wao hufunguka ya moyoni ila pia inawatu wenye maneno ya kukejeli hata kama mtu anauhitaji wa msaada wa kijamii.
Pumzika kwa amani kamanda, sikuwahi kufikiria kama ningeumia kiasi hiki. Pumzika kwa amani Kamanda Mpauko [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Kumbe baada ya miezi miwili ukaizima na huyo mdogo wake kaiacha kwa mwezi mmoja sasa landa ikifika wa pili ataizima kama wewe ulivyoizima ya babu yako.

Mnaacha kuongelea mambo ya maana mnaongelea habari za kuzima simu mpaka mnajiumbua wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ajabu sana, mie alipofariki baba yangu ndani ya mwezi ule ule hata wiki ya tatu haikufika nikawambia wadogo zangu waitupe laini na ile simu waiuze ikiwezekana ili kuondoa trace za kumbu kumbu maana watu wasiokuwa na taarifa wanaweza endelea mpigia wakijua labda bado yupo hai. Ila kijana huyu ni mdogo sana kwa umri, alikuwa na ndoto zake lakini maneno ya kejeli na kuvunja moyo huenda yakawa ndio sababu kubwa ya kufikia kufanya maamuzi hayo.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Aisee nimejikuta natiririka machozi mengi sana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nimechelewa kunua habari zake. Ni leo ndiyo nakutana na huu uzi. Nimeumia sana moyo wangu. Nimelia sana kidume mimi. Nimechukizwa sana na baadhi ya members washenzi waliomdhihaki. Alikua mdogo sana kwa kweli. Nimeumia sana. Ningemjua ningeweza kum-refer taasisi fulani ya waitaliano wana dhima ya kuwasaidia wenye ulemavu kupata kazi rasmi kwa kushirikiana na watu wa Radar recruitment agency. Nimeumia sana [emoji24][emoji24]
Pole boss
Jifunze kupitia nyuzi majukwaa mbalimbali mara upatapo muda.
Hii itakusaidia kupata taarifa za Watu mbalimbali..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka xmas uliniambia unatamani kutoka...nikakutumia hela ..nikakuambia nataman siku moja tule chakula kizuri sehemu nzuri ukawa huamini! Rip mdogo wangu na mwanangu!
Pole sana ndugu. Natumaini mngeonana mngekwenda kula chakula kizuri sana kwenye hoteli moja ambayo haijulikani. Ila ndiyo hivyo tena hatunae tena mwenzetu.
 
Back
Top Bottom