IJIGHA NDIO HOME
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 760
- 823
Kweli mkuu unajua humu mtu anaweza toa uzi alafu tukawekea mzaha kumbe mtu yupo siliasHapa ndio mzuka unapokata kbsaaa...
Half humu kuna watu wana left grp sisi hatujui tunadhani ni U bussy, kumbe Mchwa wanafanya yaoo....
Wote wapumzike kwa amani....
Huyu nae tuwe nae karibuu
Watu wote mliojiua nikawasema vibaya naomba mnisamehe sana
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ndugu zangu naomba kusamehewa sana juu ya ndugu zetu waliojiua ambao mimi nilikuwa nawakejeli sana na kuwaona kama wajinga. Kumbe walikuwa wako sahihi kabisa. Kuna mambo magumu sana ambayo wanadamu tunapitia mpaka unabaki unashangaa hakuna hata...www.jamiiforums.com
Sijawah waza hizi mambo...
lkn sasa inatishaaaa.....
Mwezi uliyopita classmet wangu nae kajimaliza...
alinitumia tu msg usiku
'.......kwaheri rafk yangu,'.
Asubuh naona msg kupga hapatkani...
Nikajua kaenda mbele maana week tatu kabla safar yake ilikua imeiva........
Mchana Dada yake ananipgia simu....
'Wewe ni rafiki wa ......?' nikamwambia 'ndio'
Akaniambia 'hatunaye tena, kajipumzisha mwenyewe'
Nilipigwa ganzi na butwaa moja hatar nilijikuta simu ipo miguuni huku bd ipo hewani...
Kwa yale mawazo ile siku sikutaka hata kuvuka barabara kubwa kbsaaa.....
Sijui nn kilimpataa ghalfa(Sitaki kuamini km ni Majibu ya Vipimo vya HIV ili aende mbele)... nakat Alipata dili moja kali sana la kwenda mbelee...
Watu wanatembea na sumuuuu......
Tuwe makini na lugha zetu kwa yyt yule....
Haya masuala ya kujutia lugha, mioyo yetu migumu na matendo yetu kwao baada ya tukio NIKUJITAKIA...
Spread love to every creature on your way.....
it might pay you or save them some days...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app