TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Alishaathirika kiakili, alihitaji msaada wa afya ya akili.

Apumzike kwa amani

Alafu nilisahau..na ww ungekuwa msaada sana kumuweka sawa! Ingawa yakwangu nikikueleza unakimbilia oh nenda hosp🤣🤣! Uliniudhi😉
 
Aisee....nadhani Maxence Melo na wenzake wana lakujifunza katika hili, namna ya kuzilinda nyuzi za watu wanaohitaji msaada kama Robin na single mothers. Single mother wanatukanwa sana humu JF lkn hakuna hatua yeyote inachukuliwa na mods


Kuna mtu niliwah mwambia pm..mtu anaanzisha uzi kuwananga single mazaz ..huyo huyo ukimsoma sana anakuambia amelelewa na mama....kama kuna makundi yanafaa kuheshimiwa ni hili jamani!...mie nawajua maarufu wawili kwa kukandia wamama hawa! Automatic nikawachukia!
 
Manengelo hawezi kumtukana, Labda kama alikuwa anampigia akiwa vyombo au ubize kwenye Kazi zake

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app


Mrangi nimewah kukutukana nikiwa vyombo🤣🤣! Hebu kuwa mkweli😆...ulipiga usk kwa namba ngeni nikaask tu kwa ukali ww nan?🤣🤣ukayeya!maana nilikua nishalala...doh! Ww bwana !😅
 
Mrangi nimewah kukutukana nikiwa vyombo[emoji1787][emoji1787]! Hebu kuwa mkweli[emoji38]...ulipiga usk kwa namba ngeni nikaask tu kwa ukali ww nan?[emoji1787][emoji1787]ukayeya!maana nilikua nishalala...doh! Ww bwana ![emoji28]
Hahaha hahaha
Nakumbuka ila kwa sababu mm master muelewa
Nlielewa, siku mind [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah.. Mungu amsamehe makosa yake. Amrehemu na kumpunzisha anapo paona nafuu kwake...
Bina Shadeeya umeona maisha yalivyo kuwa mafupi..
Nimeona Binamu. Yamebakia majuto tu sasa ambayo yameshakuwa mjukuu.

Pia kupitia huu uzi vipo vingi vya kujifunza Binamu kimojawapo kama uwezo upo wa kusaidia tusaidie kwa wakati na sio mtu ameshakufa ndio tunabakia kwenye ninge..
 
funxoo moja
ogopaaa kujikataaa aijaijalishii unapitiaa wapi KWENYE maishaa usipojikubali sahau kukubalikaa na WENGINE

post NYINGI mkuu alishajikataa n kama ALIKUWA anasubiria TRENI ya arusha ifike na YEYE aanze safari anyway
#APUMZIKE #Anakostahili
Haya mengine guystuyaavje
 
WATUWANA MAJIBU YA HIV P+TOKA 2006 NAWAJUA NA WAMO HUMU WANAKULA BATA KAJITANGULIZA MAISHA MWENYEWE
APUMZIKE ANAKOSTAHILI
HAYOYA RI.... WHR YENU
 
On point

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeee. Tatizo matapeli watazidi
Na pia hao wanajibebesha mimba wanasemwa ili watu wapunguze jibebesha
Aisee....nadhani Maxence Melo na wenzake wana lakujifunza katika hili, namna ya kuzilinda nyuzi za watu wanaohitaji msaada kama Robin na single mothers. Single mother wanatukanwa sana humu JF lkn hakuna hatua yeyote inachukuliwa na mods

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: ram
Huna sababu ya kumchukia Mwanadamu mwenzako. Muombee kwa Mungu tu amuongoze katika njia sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…